Mombasa ni mji mkongwe wa Afrika ya mashariki wenye sifa na tarekhe ndefu mno. Mji wenyewe ni kisiwa kilichozungukwa na maji pande zote ambacho kina mikondo miwili ya bahari. Mkondo wa kwanza ni...
habari wana JF
Naomba kujuzwa matumizi sahihi ya haya maneno bahati mbaya au bahati nzuri. kuna wakati mwingine watu huyatumia kwa wakati mmoja. je ni sahihi?
karibuni
Mara nyingi nawaskia watangazaji wa Tv au Radio wanapomaliza kipindi au kuaga wakitamka maneno haya (alamsick), sina uhakika wa spelling zake.
Nini maana yake? Na spelling zake ziko vipi?
Nimehudhuria sherehe moja ya kipare ya ndoa.
Wakati wa nasaha wakawa eti wanawapa maharusi nasaha kwa kipare. Yaani hata Mkurya atawaelewa wanachozungumza kwani ni kiswahili kitupu, Ndio kusema...
Tanzania ni moja kati ya nchi pekee ambayo watu wanaanza kusalimia kwa kingereza kwenye mitandao harafu ni kiswaili tupu, tena jumbe zao zina vifupisho na maneno yasio fasaha hadi kelo, heti xaxa...
Kutokana na ongezeko la watumiaji wa mitandao ya kijamii nchini, nimeona mporomoko wa lugha adhimu ya kiswahili,
Tatizo hili la kuporomoka kwa matumizi ya kiswahili stahiki na sahihi katika...
Wabunge wanatwanga maji Bungeni.Lugha ya KISIWANI haitainua Elimu kamwe.kiswahili kina asili ya uvivu na unyonge.linganisha bunge la kenya na tz utaona letu halina ......kiswahili hakihamasishi...
Ni jambo ambalo mwanzo nililiona kwamba ni ufupisho tu wa kuandika ujumbe lakini kwa sasa naona limekuwa tatizo,si ajabu sasa hivi kukuta mtu hajui matumizi sahihi ya herufi 'h' kwamba anaiweka...
Kumekuwa na tetesi kubwa kama kweli kuna kabila la watu waitwao Waswahili au kwa jina lao la jadi (Wangozi).
Wengi wamekuwa wakipinga. Lakini swali langu hili - Je kunaweza tokea lugha bila ya...
Ndugu wanajamii; maneno albinism au albino ni maneno ya Kiingereza ambayo yanalazimishwa kuingingizwa katika Kiswahili wakati kuna maneno ya Kiswahili yanayojitosheleza. Mtu mwenye ulemavu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.