mbona hiyo iko wazi mkuu kustaafu nikufikia mwisho wa uongozi ktk ngazi flani ktkna na kipindi kilichopangwa kuwakimefikia tamati.Na hali ya kujiuzulu ni kuamua kuasitisha au kuachia madaraka au uongozi flani kabla ya wakati uliopangwa wauongozi kutimia kwa sababu zakiutendaji ilikupisha uongozi mwingine uchukue hatamu.kama lowasa alijiuzuru hakustahfu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.