Kiingereza cha Vitumbua ni nini?

Kiingereza cha Vitumbua ni nini?

Joined
Aug 2, 2014
Posts
43
Reaction score
7
Samahani, lakini naomba niulize; hivi vitumbua kwa Kiingereza vinaitwaje? Maana daah, kuna dogo hapa wa English Medium kaniuliza nimeshindwa kumjibu.
 
Vitumbua hivyohivyo, Waingereza wametohoa kwetu
 
Umeona eh,sisi tunataka kila kitu kiwe na kiingereza chake,mfano kuna mshikaji wangu mmoja alikuwa na demu machepele wa kiingereza,basi siku mpja waligombana akaniomba nimwambie neno UMEKOSA RADHI YA WAZAZI KWA KIINGEREZA, nikamwambia Wazungu hawana mambo kama sisi Waswahili.

Haya bro...nimekupata
 
hahahah ulitisha hatareeee
 
Wazungu hawana vitumbua kwao, wamevikuta huku kwetu hivyo wanaita vitumbua km sie tunavyoita mfano hata ugali ni hivyo hivyo japo sie tunalazimisha iwe "hadi poleji".
 
Back
Top Bottom