Maana ya hilo neno kwa kiswahili tafadhali...nimetafuta kwaenye english to English dictionary nikashindwa kupata maana ya moja kwa moja kwa lugha ya kiswahili
Pole,then tafuta English to Swahili dictionary itakusaidia.Maana ya hilo neno kwa kiswahili tafadhali...nimetafuta kwaenye english to English dictionary nikashindwa kupata maana ya moja kwa moja kwa lugha ya kiswahili