lady mmarangu - Aug 3, 2016
Wanajamvi natumai siku yenu imeisha salama salimini,
Hivi inakuwaje mwanaume una mke, ila kucha kutwa uko bzy tu bado, jamani mnatafuta nini huko au kuna la ziada? Mwanaume anakula na sim mkononi ni ku chart tu na wanawake mnaandikiana sms za ngono tu, mwanaume una lala sa sita kisa bado!!!mh!!!
Siamini kama ni wote mtakuwa na hiyo tabia, ila nitafsireni mwanaume wa hivi ana maana gani? Mnapanga kufanya kazi fulan mwenzako anaingia ndani unadhani labda kaenda kujisaidia anachelewa unaamua kumfuta una kuta yuko bz na sm bado!!!!! Sim hizi!!
lady mmarangu - Feb 24, 2016
Nahitaji msaada wenu ndugu zanguni, mume wangu anasumbuliwa na ugonjwa wa kisukura ya pata miaka 2 sasa, na tunahitaji mtoto ila imekuwa ni shida kupata ujauzito kutokana na hiyo hali yake.
Imefikia hali mpaka manii hazitoki kabisa nisaidieni jamani.
Nawakilisha hili nahitaji mchango wenu.