Asili ya neno daladala

Asili ya neno daladala

Omari Makoo

Member
Joined
Sep 6, 2016
Posts
78
Reaction score
39
Inasemekana kwamba asili ya neno daladala ni zama za Mwl Julius Nyerere wakati shilingi tano likuwa sawa na dolar moja ya kimarekani hivyo shillingi tano ikawa inaitwa dala na wapiga debe enzi hizo walisema dala -dala-dala kumaanisha kuwa nauli ni dala moja(gwala/shilingi tano) na ndipo lilipoibuka neno daladala.

Tupe asili nyingine ya maneno unayoyafahamu
 
ASILI YA NENO DALADALA
Inasemekana kwamba asili ya neno daladala ni
zama
za Mwl Julius Nyerere wakati
shilingi tano likuwa sawa na dolar moja ya
kimarekani hivyo shUillingi tano ikawa inaitwa dala
na wapiga debe enzi hizo
walisema dala -dala-dala kumaanisha
kuwa nauli ni dala moja(gwala/shilingi
tano,Na ndipo lilipoibuka neno daladala.
TUPE ASILI NYINGINE YA MANENO
UNAYOYAFAHAMU
Unauliza jibu? Kama wewe umezaliwa Dar, muulize mama yako unless naye ni mdogo wa kabla ya 75 kabla ya vita ya Kagera ndo dollar ilikuwa hivyo. Baada ya vita uchumi uliporomoka vibaya.
 
Unauliza jibu? Kama wewe umezaliwa Dar, muulize mama yako unless naye ni mdogo wa kabla ya 75 kabla ya vita ya Kagera ndo dollar ilikuwa hivyo. Baada ya vita uchumi uliporomoka vibaya.
siulizi kushuka kwa shilingi wala sishangai kushuka kwake bali naoanisha hayo matukio na asili ya neno daladala....
 
Back
Top Bottom