Nini hasa kinafanya maneno yawe matusi?

Nini hasa kinafanya maneno yawe matusi?

Deejay nasmile

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2011
Posts
5,822
Reaction score
5,415
Ili mtu utukane,au ili mtu uonekane umetukana kuna vigezo gani au kuna misamiati gani itafanya mtu aonekane ametukana!!!??

Je mtu anayekuambia 'pua yako'
Anakuwa amekutukana??? Kama jibu ni ndio!!! Kwanini liwe tusi? Je kwamba huna pua? Na mifano mingine inayoendana na tusi

Nb:siongelei kudhalilishana mf: pua yako kubwa kama sikio la tembo
 
Nadhani ni madhumuni ya mtumiaji ndio yanayogeuza maana ya neno. Kwa mfano mwiko husongewa ugali ila unaweza geuka ukawa kuni. Ni kwa uelewa wangu mm
 
Pua yako si tusi kwa mtazamo wangu. Inaweza kuwa kejeli, kama kiungo chako cha mwili kinafananishwa na kitu fulani.
 
Back
Top Bottom