Madam wa kiswahili nisaidie

Madam wa kiswahili nisaidie

mult_talented_p

Senior Member
Joined
Oct 10, 2016
Posts
103
Reaction score
120
Kiswahili haina Q.

Nimekaa muda mrefu na kutafakari kama kuna neno la kiswahili lenye q ndani yake.
Kwa muda sasa keyboard ya simu yangu imenigomea kuandika q lakini hata hivyo sijahihitaji tena zaidi ya wakati wa kupost hii.
Neno gani la kiswahili lina q au x? niandikie pia
igotanideatosavealife@gmail.com
 
Q ni queen na x ni xray... Uzungu mtupu [emoji100] [emoji100] [emoji481] [emoji481]
 
Maandishi haya si ya asili kwa lugha ya Kiswahili. Asili yake Kiswahili kikiandikwa kwa herufi za Kiarabu.
 
Kiswahili haina Q.

Nimekaa muda mrefu na kutafakari kama kuna neno la kiswahili lenye q ndani yake.
Kwa muda sasa keyboard ya simu yangu imenigomea kuandika q lakini hata hivyo sijahihitaji tena zaidi ya wakati wa kupost hii.
Neno gani la kiswahili lina q au x? niandikie pia
igotanideatosavealife@gmail.com
Kuna Mbunge alikua akiitwa Matheo Qares,
Herufi Q hutumika sana maeneo ya Mbulu
 
Back
Top Bottom