UTATA katika matumizi ya maneno

UTATA katika matumizi ya maneno

busy bees

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2016
Posts
2,249
Reaction score
1,348
Wale wataalamu wa lugha naomba mnisaidie kuondoa utata katika matumizi ya maneno yafuatayo ktk kumaanisha USIWE NA HOFU/SHAKA :-

1) Worry out
2) Worry not

Ni lipi SAHIHI kati ya hayo mawili?
 
Wale wataalamu wa lugha naomba mnisaidie kuondoa utata katika matumizi ya maneno yafuatayo ktk kumaanisha USIWE NA HOFU/SHAKA :-

1) Worry out
2) Worry not

Ni lipi SAHIHI kati ya hayo mawili?

worry out,,,worry not.... yote maneno ya kihuni/mtaani...sahihi ni Do not worry
 
don't worry/ucjari,ondoa shaka ndio iko sahihi zaidi
 
1. worry not - isiyokuwa na shaka

2 . worry out - nje ya shaka,toa shaka

3. don't worry - usijari,ondoa shaka

yote yako sawa ila kuyatumia tofauti
 
Back
Top Bottom