jerrysonkiria
JF-Expert Member
- Sep 5, 2014
- 2,228
- 2,902
Kiswahili au lugha yeyote kila neno lina mbadala au neno sawa na maana (neno)la mwanzo.
Mfano:
amekufa=ameaga dunia
mrembo=ua
emu na wewe andika maneno unayoyafahamu
Mfano:
amekufa=ameaga dunia
mrembo=ua
emu na wewe andika maneno unayoyafahamu