Mkahawa na Mgahawa

Mkahawa na Mgahawa

bailamos

Senior Member
Joined
Nov 14, 2015
Posts
188
Reaction score
122
Lipi ni sahihi zaidi katika matumizi ya lugha ya Kiswahili
 
1.MKAHAWA = NI MMEA UNAOZALISHA KAHAWA

2.MGAHAWA = MAHALA PANAPOUZWA VYAKULA VILIVYOPIKWA (MAMA NTILIE)

Neno Mkahawa na Mgahawa ni maneno mawili tofauti
 
1.MKAHAWA = NI MMEA UNAOZALISHA KAHAWA

2.MGAHAWA = MAHALA PANAPOUZWA VYAKULA VILIVYOPIKWA (MAMA NTILIE)

Neno Mkahawa na Mgahawa ni maneno mawili tofauti
Mkuu msome Tuyuku hapo kwenye Uzi uongeze msamiati...
 
Yote yana maana moja sema jinsi inavyotamkwa kutokana na sehemu husika na yana maanisha restaurants.

Zanzibar hutamka Mkahawaa ila huku bara wanatamka Mgahawa.

Hivyo ni kutokana na kupronouns ila maana ni ile ile
 
Back
Top Bottom