Uswazi ndiko misemo inakoibukia....cheki hii misemo na weka ya kwako.....
Usijisifu una mbio, msifu na anaekukimbiza.......
Fukara hafilisiki....
Ukijenga nyumba ya vioo usianzishe ugomvi wa...
Kuna aina mingi ya miti lakini mti hiyo inafahamika kwa majina mbalimbali. Mfano mti unawaza kuhufamu kwa jina la kiswahili au kitaalamu au kwa jina la kikabila. Naomba kufahamu mmea jamii ya...
Wakuu kama kichwa kinavyojieleza hapo juu nimekuwa nikikutana na neno "BTW" kwenye nyuzi nyingi humu, ila nimeshindwa kujua maana yake naomba wazoefu was kulitumia hili neno wanisaidie kujua maana...
Kwenye Kiswahili hakuna neno "kupelekea".
Hili ni moja ya maneno yaliyopata mashiko siku hizi
lakini ukweli ni kuwa hiyo ni "broken language".
Mfano:
1. Tatizo hili limepelekea kila mtu...
kutokana na jina hili kuwa maarufu TANZANIA,ni jepesi kulitamka hata watoto wadogo wamelishika haraka na kulitamka kama BASITE licha ya hivyo ni neno lenye tafsida linalobeba maana nyingi...
WanaJF naomba mnisaidie, mfano sentensi ifuatayo nitaibadilije iwe ktk lugha ya kiingereza?
Baba! Mimi ni mtoto wako WA ngapi?
Ni hilo tu, asanteni.
Naomba kuwasilisha.
Mara nyingi mtaani utasikia watu wakisema, “Jamaa anapiga slang si mchezo.”
Wengi hudhani “slang” ni Kiingereza cha Kimarekani.
Lakini maana halisi ya “slang” ni lugha ya mtaani. Ni ile lugha...
Tumezoea sana kutumia neno "darubini" kwa maana ya kifaa kinachotumika hospitalini kwa ajili ya kuchunguzia vijidudu.
Lakini ukweli ni kwamba, hiyo si "darubini" bali ni "hadubini". Tazama picha...
Katika mambo ya utawala na menejiment (administration and management), kuna istilahi mbalimbali zinazohusika ambazo huenda hazijajulikana kwa wengi. Kwa mfano:
1. Mrejewa – referee...
Naomba kwa wataalamu ya lugha ya kiswahili na kiingereza wanisaidie kunipa tafsiri ya kina ya maneno yafuatayo:
1. FORESIGHT
2. INNOVATION
3.CATALYST
Nawakilisha
Mtu wa Tanzania anaitwa Mtanzania. Je, wakutoka hapa wanaitwaje kwa Kiswahili sanifu?
1. Finland
2. Thailandi
3. Urugwai
4. India
5. Afughanistani
Kiswahili kina maneno mengi ambayo...
Sijui kama na wewe unapenda mashairi (poetry) kama mimi. Ngoja nikuwekee shairi moja la William Blake liitwalo A Poison Tree, yaani Mti wa Sumu. Nimejaribu pia kuweka tafsiri yake kwa Kiswahili...
Kila fani ina msamiati wake (jargon).
Yafuatayo ni baadhi ya maneno yanayotumika kwenye saikolojia:
1. Fakali (faculties)
2. Haiba (personality)
3. Fadhaa (neurosis)
4. Kumbukumbu limbiko...
¡Hola amigos,Estoy aprendiendo el idioma español desde hace un año. ¿Hay alguien aquí interesado en intercambiar comunicación en español?
Por favor, hágamelo saber.
Saludos,
Belinda
NGUVU MWISHO WA AKILI.
1>alipewa mwanadamu,mnyama zake ni pungufu.
Toka zama zama damu,zama zisizo na harufu.
Wote twende zamu zamu,ndivyo ataka raufu.
Nguvu mwisho wa akili,wajinga hawatambui...