Jukwaa la Historia

On JF:

NYARAKA ZA NANGWANDA LAWI SIJAONA MOJA YA VIELELEZO MUHIMU VYA HISTORIA YA TAA NA TANU Kwa muda mrefu nimekuwa nikipokea kutoka kwa mtoto wa Lawi Sijaona, Sijali Sijaona, nyaraka moja baada ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Miaka ya 1800's walikuwepo ndugu wawili kwa Majina ya KEMPANJU NA KASSA, huko mkoani Kagera wilaya ya Bukoba( Misenyi kwa sasa). Imenichukua mwendo wa lisaa kutoka Bukoba mjini mpaka kata ya...
6 Reactions
37 Replies
12K Views
MIMI, SAL DAVIS NA KITABU CHETU Kwa mara ya kwanza hiki ndicho kitabu changu kilichochapwa na Amazon. Amazon sifa zao hazihitaji kuelezwa na mimi. Walianza na uuzaji wa vitabu na kukufikishia...
2 Reactions
0 Replies
677 Views
Picha hiyo hapo chini kaniletea ndugu yangu na kaniandikia maneno haya: "Picha adimu hiyo nimekutunuku, iandikie habari." Kulia ni Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Dr. Salim Ahmed...
0 Reactions
1 Replies
860 Views
KAVAZI LA DR. SALIM: JENERALI ULIMWENGU, GAZETI LA RAI NA UGOMBEA WA SALIM UCHAGUZI WA 1995 Katika Kavazi la Dr. Salim anaeleza simu aliyopigiwa na Jenerali Ulimwengu tarehe 29 March 1995 na...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Kuna story ya kweli ila imebaki kumbukumbu kama picha niliyoweka hapo chini. Kwa historia fupi kama mtakuwa na kumbukumbu vita ya Vietnam miaka Nov 1, 1955 – Apr 30, 1975. yenye sababu nyingi...
2 Reactions
1 Replies
579 Views
JARIDA LA AFRICA EVENTS KUTOKA MAKTABA LIPO KATIKA KAVAZI LA DR. SALIM AHMED SALIM Hiki kisa nimepata kukieleza siku za nyuma na hivi karibuni nilipokuwa naandika kuhusu uzinduzi wa Kavazi la Dr...
3 Reactions
3 Replies
991 Views
Comrade Ali Sultan Issa Al-Ismaily, who passed away on January 3, 2022, three months shy of his 90th birthday, was iconic, if controversial, figure in Zanzibari politics. The fact that his death...
3 Reactions
40 Replies
6K Views
MUHIMU WA KUWA NA HISTORIA YA KWELI YA UHURU WA TANGANYIKA Kaandika aliyeandika: "Lakini bado katika kuunganisha vugu vugu la ukombozi, utapungukiwa sana maarifa ukishindwa kujua Mwl. Nyerere...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Katika ulimwengu huu na kazi nzuri zilizokuwemo mule kama action, mapenzi, vichekesho, wangeshirikiana na watengeneza katuni wa kimataifa mbona wangekuwa mabilionea. Taarifa nilizonazo Masoud...
3 Reactions
85 Replies
20K Views
Nimesoma kuhusu kavazi la Dr. Salim Ahmed Salim. Hakika ni jambo kubwa sana kwetu na nadhani yeye ni wa kwanza kufanya kitu hiki. Mimi nilibahatika kukutana na Dr. Salim nyumbani kwake kwa...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Waandaaji wa kongamano Kituo cha Tarekhe ya Uislam na Wanavyuoni wa Afrika Mashariki na Maahad Juneyd Islamy Zanzibar waliwaalika wanahistoria kujadili ni lini Uliingia Uislam Pwani ya Afrika...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba kujua kuhusu daraja la Salender ambalo liko jijini Dar es Salaam 1. Lilijengwa mwaka gani. 2. Mkandarasi / engineer aliyelijenga daraja hilo. 3. Na ni nani aliyesimama ujenzi...
12 Reactions
77 Replies
28K Views
Tafiti ndogo tu, yangu binafsi na isiyo na shaka kabisa niliyoifanya kuhusu jina la jiji letu kuu "Dar Es Salaam" na jina la soko letu kuu "Kariakoo" ninaihitimisha kwa ufupi (summary) hapa chini...
22 Reactions
107 Replies
15K Views
OFISI YA TANU ILIVYOKUWA MIAKA YA 1960 Kuna mtu kaniletea picha hii ya ofisi ya TANU kama ilivyokuwa katika miaka ya 1960. Pamoja na picha hiki kaniandikia ujumbe ananambia kuwa picha hii...
3 Reactions
6 Replies
2K Views
NIMEFUKUZWA TENA BAADA ya kuweka video hii ya TBC nikatolewa kundini: https://youtu.be/-bwoz3jI7RA?si=rJdx_0PlMIHxm4Wm Nilikuwa kwenye group moja nikafukuzwa naamini wengi mlisoma makala ile...
35 Reactions
164 Replies
9K Views
''Mwalimu Nyerere na Historia'' (1980) Kitabu cha Prof. G.A. Mhina Kitabu hiki nimekuwancho kwa miaka mingi sana. Lakini kwa kuwa ni kitabu cha picha nilikisoma mara moja tu katika miaka ya 1980...
12 Reactions
166 Replies
8K Views
WANACHAMA WA MWANZO WA TANU WALITOKA RUFIJI Shughuli ya usajili wa TANU ilifanywa na watu watatu wenye kadi zinazoongozana: Julius Nyerere kadi no. 1, Ally Sykes kadi no. 2 na Abdul Sykes kadi...
3 Reactions
39 Replies
2K Views
Nafanya research juu ya african folktales nawish ziwe documened kama zilivyo za wazungu mfano king arthur wa uingereza na thor kwa Scandinavian. Katika research yangu nimegundua nyingi za...
2 Reactions
25 Replies
4K Views
Wadau nawasabahi.Baada ya TANGANYIKA na ZANZIBAR kuungana Nchi ya TANZANIA ikapatikana na Nchi ya ZANZIBAR ikaendelea kuwepo ikiwa na Bendera na RAIS WAKE lakini Nchi ya TANGANYIKA IKAFA . Katika...
0 Reactions
0 Replies
500 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…