Jukwaa la Historia

On JF:

DOLA YA MRIMA (KILWA): ILIOKUWA TAIFA KUU AFRIKA KARNE YA KUMI (1070 A.D) Na. Comred Mbwana Allyamtu Sunday -7/9/2016 Kilwa Masoko, Kilwa - Lindi, Tanzania. Mji wa Kilwa ni mji maarufu sana...
3 Reactions
14 Replies
4K Views
Kama kuhamisha kabila toka kwenye asili yao kuwapeleka sehemu isiyo asili yao ni jambo linalowezekana je, katika muktadha huo na mantiki hiyo unaweza kuwahamisha Wazanaki toka Butiama kuwapeleka...
0 Reactions
2 Replies
733 Views
Jumatano ya Desemba 13, 2012 ilikuwa ni siku ya majonzi kwa wapenzi wa muziki wa dansi hapa Tanzania, Afrika ya Mashariki na ulimwenguni kwa ujumla. Siku hiyo ilikuwa ni miaka miwili kamili toka...
10 Reactions
15 Replies
5K Views
PICHA HII INAWEZA KUKUTOA MACHOZI Dr. Salmin Amour aliyekuwa Rais wa Zanzibar alipotembelewa na Dr. Hussein Mwinyi nyumbani kwake. Dr. Salmin kanyanyua mikono anamwelekea Allah kwa dua na dua...
25 Reactions
85 Replies
18K Views
Ni Vema kujua historia yetu Kwa Wale ambao wamelipigania Taifa letu Katika kupata Uhuru
0 Reactions
1 Replies
327 Views
Suala ukombozi wa bara la Afrika kutoka kwenye mikono ya wakoloni na ukoloni mambo leo baaada ya ukoloni halisi halikuwa kazi rahisi lilihitaji mchango wa jasho na damu kutoka kwa kila kundikatika...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Katika kabila lenye matabaka mengi Tanzania ni la Kichagga. Na lugha zinabadilika kulingana na eneo ndio mana unakuta ukianza Rombo mpaka Siha lafudhi ni tofauti japo tunasikilizana vizuri lakini...
19 Reactions
111 Replies
22K Views
UKARIMU WA WATU WA PEMBA Wenyeji wangu wananitembeza kila sehemu Pemba. Ndani ya gari yetu kumetiwa maji ya kunywa, majamvi na viti vya kukunja ikiwa vitahitajika. Maji ya kunywa kuchukuliwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari zenu wanaJF, natumai hamjambo na kila mtu yupo zake vema katika kupambania kombe. Leo kama mada inavyosema nilitaka nipate zaidi ya nikijuacho ikiwezekana nifute nilichonacho au niongezee...
11 Reactions
102 Replies
8K Views
Kilwa Kisiwani ni jina la kijiji kikubwa kwenye Kisiwa cha Kilwa karibu na mji wa Kilwa Masoko katika Mkoa wa Lindi, Tanzania. Ndipo mahali pa mji wa Kilwa ya kihistoria iliyokuwa mji mkubwa...
4 Reactions
37 Replies
20K Views
DOLA YA MRIMA (KILWA) ILIOKUWA TAIFA KUU AFRIKA KARNE YA KUMI (1070 A.D) NA: COMRED MBWANA ALLYAMTU. Mjii wa Kilwa ni mji maarufu sana barani afrika kwa sifa zake sio kwamba kwa sababu ya jina...
4 Reactions
45 Replies
13K Views
Mzuka wanajamvi! Kati ya makabila yanayopenda na kuthamini Ng'ombe kupindukia ni Herero Namibia, Fulani (Nigeria, Niger, Guinea, Mali, CAR na western Sudan, Maasai, Sukuma na Tutsi. Vasco Da...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Hii video ilishawahi kuwekwa hapa lakini hakuna ubaya kuirudia tena. Angalia pale sekunde ya 20 alivyopigiwa Saluti na Prince Charles ambaye sasa ndiye mfalme wa uingereza...
5 Reactions
41 Replies
2K Views
Makamu rais Dr Mpango ameshauri kuwa ni vyema sasa watoto wote wanaozaliwa wawe wanapatiwa Vitambulisho vya Taifa (NIDA) papo hapo. Anasema hii itasaidia watoto kutatua changamoto mbalimbali za...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Mzee Makongoro alikuwa ni mwalimu wa Kwaya ya Vijana ya TANU ambayo ilivuma Sana kwa nyimbo za asili na nyimbo zake zilipata umaarufu mkubwa Sana miaka ya sabini na themanini kupitia vipindi...
4 Reactions
17 Replies
4K Views
Hebu tuangalie kwa kina, ukoloni uliletwa na wazungu tu. Waarabu na wahindi walikuwa wafanyabishara tu. Hoja, ninani mwenye afadhali kati ya mkoloni na mfanyabishara? Japokuwa mkoloni alikuwa na...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kabla ya mwaka 1868, Jiji linalofahamika kwa jina la Dar es Salaam, halikuwepo kabisa. Badala yake kulikuwa na mji ulioundwa na miji mitatu maarufu, ambayo ni Kunduchi, Mbwamaji na Tindwa. Kila...
2 Reactions
18 Replies
3K Views
MTWA ABDALLAH MKWAWA (1865 - 1898) Nimefika leo asubuhi Kalenga nikielekea alipokuwa anaishi Mtwa Mkwawa ambapo hapo ilipokuwa nyumba yake sasa ni Mkwawa Museum. Ukisimama barabarani na...
4 Reactions
41 Replies
5K Views
MAALIM ALY BASALEH SHEIKH SHUJAA Nimepata taarifa ya kifo cha Sheikh Aly Basaleh msikitini petu Masjid Nur leo baada ya Sala ya Maghrib. Nilipofika nyumbani kitu cha kwanza nilichofanya ni...
4 Reactions
21 Replies
3K Views
Niko matembezini Tabora, kwenye kijiwe kimoja Nimekutana na Mzee mmoja mstaafu anaitwa Mzee Moshi, amenipa kisa kimoja. Kuna Rubani shujaa sana wa kitanzania Brigedia Shimani (sina hakika kama...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom