Jukwaa la Historia

On JF:

John Iliffe amepata kusema kuwa historia ya TANU nyingi iko katika mikono ya watu. Hakika maneno haya ni ya kweli wala hayana shaka. Nimepokea nyaraka nyingi na picha kutoka kwa watu zinazohusu...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Jamii ya Ninja ilikuwepo Japan tangu mwanzo wa karne ya 11 katika maeneo ya Koga na Iga, lakini umaarufu wao uliongezeka wakati wa migogoro na vita vya Japan katika karne ya 15. Jamii hii...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
NAMI NATUNUKU PICHA KUSHUKURU Nimemwandikia ndugu yangu aliyenitunuku picha adimu: "Nami nakupa picha adimu na nyongeza kidogo kukushukuru kwa hidaya uliyonipa. Katika picha uliyonitunuku yupo...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
KAMARA KUSUPA: PENYE UONGO UKWELI UTATAFUTWA Kitabu cha Abdul Sykes. Ukweli ni kuwa katika vitabu vyote vilivyoandikwa kuhusu historia ya TANU hakuna hata kitabu kimoja unachoweza kufananisha na...
2 Reactions
0 Replies
572 Views
Toka nikiwa mdogo katika vita ambavyo masikio yangu yamesikia kwa muda mrefu ni vita vya Israel na Palestina. Sina hakika lakini nadhani ni vita ambayo inapigana mara kwa mara. Kipindi kile hakuna...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
KAMARA KUSUPA NA DINI ZA KIGENI NA DINI ZA ASILI Kuna maneno ukiyasoma sharti uingie hofu. Dini za Kigeni. Dini za Asili. Kutoka kwa Mchungaji. Uhuru wa Tanganyika ulipiganiwa chini ya msaada...
0 Reactions
4 Replies
859 Views
Ilitokea huko Ufaransa, wakati wa utawala wa Louis XIV, huyu baba alihukumiwa kufia gerezani kwa njaa kosa lake aliiba mkate. Mtoto wake akiyekua ananyonyesha alikwenda kumtembelea baba yake kila...
4 Reactions
9 Replies
3K Views
Habari Wana jamii forum, ningependa kujua kuhusu hawa watu je sio matapeli? Kwa hapa Kibaha maili moja wapo ukumbi unaitwa mwitongo, kwakweli Wana wanafunzi wengi mno haswa kutoka mikoa jirani...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
HARUNA MBEYU NDANI YA MAKTABA Leo jioni nimetembelewa na rafiki yangu ndugu Haruna Mbeyu. Nimemjua Haruna bado mtoto mdogo wa shule Miaka mingi hayupo lakini hapungui Tanzania. Haruna ana ila...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Kati ya mwaka 1947 mpaka 1975 wakoloni waingereza walikuwa ni wamiliki wa kiwanda kilichokuwa kinaitwa TANGANYIKA PACKERS LTD (TPL) kiliajiri wafanyakazi zaidi ya 1200 na walikuwa wanafanya kazi...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Huyu mzee wangu wa gerezani aangaliwe vizuri. Nakubali ni msomi mzuri hapa nchini, nakubali ana busara ila anatumia akili zake kucheza na akili za watu. Sijawahi kusikia popote duniani mtu...
46 Reactions
173 Replies
10K Views
Yahoo friends Words to live by, please read to the end. The last wishes of Alexander the Great: On his death bed, Alexander summoned his generals and told them his three ultimate wishes: 1...
3 Reactions
9 Replies
5K Views
Ilikua ni mwaka 1917, Arthur Balfour , alitoa azimio la uungwaji mkono uanzishwaji wa taifa la Wayahudi , Israel. kwa wakati huo, hakukua na nchi iliokua ikiitwa Israel. ili kufanikisha mpango...
2 Reactions
3 Replies
974 Views
Imezoeleka sana kwa watu kusema kuwa Uarabuni hakuna watu weusi kama Amerika licha ya watumwa wengi kupelekwa huko. Wengi hudai kuwa waarabu walikuwa wajiwahasi watumwa wakiume ili wasizaliane...
2 Reactions
87 Replies
6K Views
KITABU KIPYA: WATU MASHUHURI KATIKA UHURU WA TANGANYIKA - SALUM MPUNGA, YUSUF CHEMBERA NA PETER MHANDO KITABU CHA PILI TANU ilikuwa na historia ya pekee sana ambayo bado inahitaji kufanyiwa...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
If you love history, please make time to read this👇 The following are historical facts and nothing less, it was written without religious bias and the information given here is factual; Zionist...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
STAAJABIKA NA KIM JONG-UN (ALMAARUFU KWA JINA LA KIDUKU) RAIS WA KOREA KASKAZINI. Kim Jong- un ni mtoto wa tano na wa mwisho katika uzao wa Kim jog-il (raisi wa pili wa Korea Kaskazini). Kwa...
1 Reactions
8 Replies
4K Views
Habari wana Jamii, Naomba kufahamu historia ya Rais wa zamani wa libya canal Gaddafi na uhusiano wake na aliyekuwa Rais wa zamani wa Algeria Ndugu Gamal Abd Nassar.
0 Reactions
4 Replies
991 Views
MAHOJIANO NA MOHAMED VALL WA AL JEZEERA 2007 Jana nilikuwa naangalia Al Jazeera yanayotokea Gaza mara nikamuona mtangazaji wa Al Jazeera, Mohamed Vall anatangaza habari za vita hivi. Mohamed...
7 Reactions
17 Replies
2K Views
Ukisoma Historia vizuri ya Waisraeli kwenye vitabu vya Dini na historia ya kidunia utagundua waisraeli walipitia misukosuko mingi tangu kipindi cha Musa, hadi kuja kwa Adolf Hitler ambao wengi...
8 Reactions
53 Replies
4K Views
Back
Top Bottom