Morogoro ni mkoa mojawapo wenye MAKABILA mengi hapa nchini. Zifuatazo ni wilaya na MAKABILA yake
1. Halmashauri ya Morogoro: Hii wilaya maarufu kama Morogoro Vijijini, makabila yanayopatikana ni...
Na DaVinci XV
Naam
Wakati huko duniani Caesarian section (Kuzaliwa kwa mtoto kwa njia ya upasuaji) inaingia kwenye vitabu ya medical na Midwifery kwa mara ya kwanza na kuweka miongozo na...
Kwa wale tulioingia Chuo Kikuu cha Dar-es –Salaam faculty of Medicine enzi hizo intake ya mwaka 1982 tutamkumbuka ndugu yetu huyu mcheshi sana Rosemery Nyerere.
Miaka hiyo intake moja ilikuwa...
WENYEVITI CHAMA CHA TANU MWANZA NA KIJIJINI NYAMAZUGO GEITA NA HISTORIA YA KADI YA TANU
Chairman wa TANU wa kwanza Mwanza nakumbuka jina lake Hussein Jumbe.
Kijijini Nyamazugo Geita kadi za TANU...
Wakati niko nasoma pale Nusery school hapo pale pembeni ya Oysterbay Primary school , tulipata taarifa kwamba kuna basi la kati ya UDA au Kamata limepata ajali meneo ya Kilima Masaki na...
Ndugu wana mtandao wa JF, nimekaa na kumkumbuka huyu mzee Tuntemeke Sanga ambaye nasikia alikuwa na degree saba (km ni kweli) na mbaye alikuwa matata sana bungeni enzi zileee.
Je kuna mtu...
*Don’t go anywhere I want to talk to you.’’
(Muhammad Ali shouting at Sal Davis, Frankfurt, Germany 1966)
‘’When I was in Paris I used to stay late to watch Ali’s fights. He had defeated Sony...
Nimekuwa nasoma biography ya Malcom X. Huyu mtu alikuwa wa pekee sana. Hapa nataka kuzungumzia hii hotuba yake(The ballot or the Bullet) ukweli sijawahi sikia hotuba yenye nguvu namna hii...
HISTORIA IMEMSAHAU MZALENDO HUYU
MAULID HASSAN
Imeandikwa na Kizito Mpangala
Anapatikana Wilaya ya Namtumbo, Mkoa wa Ruvuma.
Ni kamanda mwenye umri wa miaka 90 sasa.
Maulid Hassan ni...
HISTORIA YA TUNTEMEKE SANGA MBUNGE WA ZAMANI WA MAKETE.
Tarehe 8 Desemba 1930 huko Lupaso, kijiji cha Bulongwa, Njombe, alizaliwa mtoto wa kiume mwenye afya tele. Mtoto huyo, ambaye alikuja...
MIAKA 60 YA UHURU WA TANGANYIKA 1961: YALIYOMFIKA PROF. KIGHOMA ALI MALIMA HAYAJAMKUTA KIONGOZI YEYOTE KATIKA HISTORIA YA TANZANIA
Ally Sykes alikuwa na kawaida kuwa akiwa na mgeni yeyote ndani...
HISTORIA YA PEKEE YA PEMBA NA WAPEMBA
Wenyeji wangu wamenifikisha Wete kiasi cha saa nne asubuhi jua limepanda na mji umechangamka.
Gari yetu imeegesha pembeni na mkuu wa msafara katoka nje na...
SIKU NILIPOKUTANA NA SALIM HIMIDI
Hii makala ni taazia niliyomwandikia rafiki na ndugu yangu Salim Himidi alipofariki Paris.
Mtu aliyenijulisha kwa Salim Himidi ni Mohamed Mshangama.
Nimeipata...
Wakati wa Ujenzi wa Reli ya TAZARA zaidi ya Wafanyakazi 160 walifariki kwa ajali na magonjwa, kati yao Wachina walikuwa 64. Ujenzi ulihusisha Vibarua na Wahandisi 38,000 kutoka Tanzania na Zambia...
Na Ahmed Rajab
SIKU hasa siikumbuki. Lakini mwezi na mwaka naukumbuka. Na siku zenyewe kwa jumla ninazikumbuka. Zilikuwa siku za Morogoro Jazz Band na Mbaraka Mwinshehe. Simba Wanyika hawakuwa...
Katika hali isiyo ya kawaida Jeshi la Marekani lilipata pigo la mwaka ndani ya ardhi ya Iraq baada ya mmoja wa watu muhimu sana ndani ya Jeshi lake kuuwawa ktk tukio ambalo lilifanya USA...
Jere Van Dyk alikamatwa na kushikiliwa na kundi la Taliban kwa siku 45 katika eneo lisilo la mtu kati ya Afghanistan na Pakistan, ambapo alikabiliwa na hukumu ya kunyongwa.
Kadiri matukio ya...
Leo katika pita pita zangu za kusoma vitabu, nakutana na historia iliyojaa maajabu, vichekesho, hatamu na mafunzo. Historia ambayo iligusa moyo wangu na kuamua kuiandika angalau wengi wao...
SHEIKH JUMA MWINDADI
Imenichukua miaka mingi kuitafuta picha ya Sheikh Juma Mwindadi.
Hatimae picha ya Sheikh Jjuma Mwindadi nimeipata kutoka kwa familia yake.
NImefahamishwa kuwa ingawa watu...
Wakati ndugu zetu wa Msumbiji wakimkumbuka Mmoja wa viongozi mashuhuri Kamarade Samora Machel, baada ndege aliyopanda pamoja na abiria wengine 34 ilipotunguliwa katika milima ya jimbo la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.