Jukwaa la Historia

On JF:

Ukisoma Historia vizuri ya Waisraeli kwenye vitabu vya Dini na historia ya kidunia utagundua waisraeli walipitia misukosuko mingi tangu kipindi cha Musa, hadi kuja kwa Adolf Hitler ambao wengi...
8 Reactions
53 Replies
4K Views
Katika kitabu chake cha "The life and Times of Abdulwahid Sykes (1924-1968): The untold story of the Muslim Struggle against British Colonialism in Tanganyika" mwandishi Mohamed Said anaangalia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Picha zilizopo katika makala haya nilipiga Ukumbi wa Arnautoglo 1993 wakati chama cha National Emancipation Movement (NEMA) kinahakiki wanachama wake 1993 ili kupata usajili wa kudumu. April 1953...
1 Reactions
14 Replies
931 Views
IJUE NCHI YA ETHIOPIA Ethiopia ni nchi ya pembe ya afrika, ambayo imepakana na Eritrea na Djibouti kwa upande wa Kaskazini, Somaliland kwa upande wa Kaskazini mashariki, na imepakana na...
14 Reactions
35 Replies
7K Views
Nimesoma kuhusu kifo cha Dr. Edith Kitambi leo keshafariki muda mrefu na watu wameandika kama kumbukumbu. Kwangu mimi ikawa ni msiba mpya na machungu yake naomboleza wakati wenzangu weshapoa...
15 Reactions
49 Replies
4K Views
HISTORIA YA JUMBE MWINJUMA DIGOSI, SHEIKH SULEIMAN TAKADIR NA JULIUS NYERERE 1954 Inawezekana Jumbe Mwinjuma Digosi alikuwa umri huu wa sasa alionao mwanae Zakaria huyu Mwenyekiti wa CCM Kata ya...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
BARUA KUHUSU NYARAKA ZA NANGWANDA LAWI SIJAONA Barua hizi tatu zinajieleza vizuri na zinajitosheleza kueleza tatizo linalokabili uhifadhi wa historia ya kweli ya uhuru wa Tanganyika. Katika...
0 Reactions
0 Replies
690 Views
Vita ya Kagera ya mwaka 1978/79 iliyopiganwa ili kuokoa mipaka yetu ilikuwa ya aina yake. Tulifanikiwa kushinda lakini ilituachia maumivu pengine mpaka leo. Moja ya vivutio ilikuwa ni uzalendo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni Maj.Gen.Benjamin "Ben" Msuya wakati huo akiwa na cheo cha Lt.Col. Ndiye aliyeongoza kikosi vya JWTZ kilichotwaa jiji la Kampala. Huyu ndiye aliyelazimika kulidhibiti jiji la Kampala na Ikulu...
24 Reactions
65 Replies
19K Views
Weekend Kareem wapenzi wa JamiiForums popote mlipo. Naamini mu wazima wa siha muruwa kabisa huku mkifanya tathmini ya kile mlichokifanya kwa juma zima hili. Leo nimeleta kwenu swali juu ya Idd...
10 Reactions
137 Replies
10K Views
Picha hiyo hapo chini kaniletea ndugu yangu na kaniandikia maneno haya: "Picha adimu hiyo nimekutunuku, iandikie habari." Kulia ni Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Dr. Salim Ahmed...
4 Reactions
14 Replies
2K Views
NYARAKA ZA NANGWANDA LAWI SIJAONA MOJA YA VIELELEZO MUHIMU VYA HISTORIA YA TAA NA TANU Kwa muda mrefu nimekuwa nikipokea kutoka kwa mtoto wa Lawi Sijaona, Sijali Sijaona, nyaraka moja baada ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Miaka ya 1800's walikuwepo ndugu wawili kwa Majina ya KEMPANJU NA KASSA, huko mkoani Kagera wilaya ya Bukoba( Misenyi kwa sasa). Imenichukua mwendo wa lisaa kutoka Bukoba mjini mpaka kata ya...
6 Reactions
37 Replies
12K Views
MIMI, SAL DAVIS NA KITABU CHETU Kwa mara ya kwanza hiki ndicho kitabu changu kilichochapwa na Amazon. Amazon sifa zao hazihitaji kuelezwa na mimi. Walianza na uuzaji wa vitabu na kukufikishia...
2 Reactions
0 Replies
677 Views
Picha hiyo hapo chini kaniletea ndugu yangu na kaniandikia maneno haya: "Picha adimu hiyo nimekutunuku, iandikie habari." Kulia ni Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Dr. Salim Ahmed...
0 Reactions
1 Replies
860 Views
KAVAZI LA DR. SALIM: JENERALI ULIMWENGU, GAZETI LA RAI NA UGOMBEA WA SALIM UCHAGUZI WA 1995 Katika Kavazi la Dr. Salim anaeleza simu aliyopigiwa na Jenerali Ulimwengu tarehe 29 March 1995 na...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Kuna story ya kweli ila imebaki kumbukumbu kama picha niliyoweka hapo chini. Kwa historia fupi kama mtakuwa na kumbukumbu vita ya Vietnam miaka Nov 1, 1955 – Apr 30, 1975. yenye sababu nyingi...
2 Reactions
1 Replies
579 Views
JARIDA LA AFRICA EVENTS KUTOKA MAKTABA LIPO KATIKA KAVAZI LA DR. SALIM AHMED SALIM Hiki kisa nimepata kukieleza siku za nyuma na hivi karibuni nilipokuwa naandika kuhusu uzinduzi wa Kavazi la Dr...
3 Reactions
3 Replies
991 Views
Comrade Ali Sultan Issa Al-Ismaily, who passed away on January 3, 2022, three months shy of his 90th birthday, was iconic, if controversial, figure in Zanzibari politics. The fact that his death...
3 Reactions
40 Replies
6K Views
MUHIMU WA KUWA NA HISTORIA YA KWELI YA UHURU WA TANGANYIKA Kaandika aliyeandika: "Lakini bado katika kuunganisha vugu vugu la ukombozi, utapungukiwa sana maarifa ukishindwa kujua Mwl. Nyerere...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Back
Top Bottom