Jukwaa la Historia

On JF:

BRONX FAMILY - MAMBO YOTE. "Huu ni mwanzo wa chimbuko wa Hip Hop ya Bongo walikuwepo Gwm, niggers 2 public na k wa kwanzania , Mic walishika wakiwa ma mc wenye vipaji ingawa kuna wengi walipinga...
0 Reactions
3 Replies
762 Views
KUMBUKUMBU YA RAMADHANI 4 FUNGA YA ZIMBABWE 1993 Nimefunga Ramadhani Harare, mwaka wa 1993. Naikumbuka safari hii vyema sana. Nimepanda ndege ya alfajir ATC kuelekea Harare. Uwanja wa ndege...
0 Reactions
4 Replies
568 Views
Angalia hapo juu picha ya Bi. Mwamtoro bint Chuma mama yake Sheikh Haidar Mwinyimvua. Picha hii inamwonyesha Bi. Mwamtoro bint Chuma akipiga kura Uchaguzi Mkuu wa 1970. Bila ya shaka yoyote...
3 Reactions
26 Replies
2K Views
KUMBUKUMBU YA RAMADHANI 2 MFUNGO WA RAMADHANI NA SIKUKUU YA EID MBALI NA NYUMBANI NA KWINGI DUNIANI Mombasa, Kenya 1990s Hii mbali na nyumbani nimemwibia gwiji wa fasihi, Shafi Adam Shafi...
4 Reactions
0 Replies
691 Views
Kitaaluma. Ukisoma peopling of East Africa utajua kuwa sisi ni Cushite. Ukisoma Itandala (1997) katika kitabu chake East Africa and its Invaders anasema, Afrika kuna makabila 3. Negros, Hamites...
7 Reactions
22 Replies
17K Views
MAJINA YA ALI (ALLY) KATIKA HISTORIA YA KUPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA Katika vibao hivyo vitatu kimoja kimekosekana. Kimesosekana kibao cha Ali Masham wa Magomeni Mapipa. Ali Masham alifungua...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jaji Mkuu, Majaji, Mawakili na Mahakimu wote Ukweli kuhusu umiliki wa viwanja 32/77 Somali Street na 17/56 Mtaa Mchikichi Kariakoo Dar es Salaam. Mimi...
7 Reactions
30 Replies
3K Views
Habari Ya asubuhi Leo Ya tarehe 11/03/2024 Nawaletea Ufunuo huu WanaJF twende Na Mimi ili mpate mambo mzuri WILLIAM TYNDALE,MTU ALIYECHOMWA MOTO NA KANISA KWA KOSA LA KUTAFASIRI NA KUCHAPISHA...
4 Reactions
6 Replies
1K Views
Habara wana JF, naamini mmetuliza akili Kwa kusoma uzi mrefu sina muda wa kupoteza hadi sasa naomba mniazime dakika 3 za kusoma uzi huu Kabla sijaelezea kuhusu mwanzo wa taifa la Israel pamoja na...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Vijana ni nguzo ya Taifa hivyo Taifa lolote halina budi kuwa na vijana wenye weledi wa Mambo pamoja na Utashi katika kufanya Mambo, Jambo ambalo linaweza kuwapa historia kubwa hata baada ya mwisho...
6 Reactions
23 Replies
11K Views
Kwa hakika kipindi cha utawala wa Mwinyi hakupungukiwa na watu waliokuwa wanaona raha kumshambulia. Ilisikitisha kuwa kulikuwa na magazeti yalimpa nafasi Reverend Mtikila kumshambulia Rais. Kuna...
5 Reactions
195 Replies
12K Views
KARIBU SANA MWANA JAMIIFORUM TUJIFUNZE na ruksa kukosoa chapisho. FERRUCCIO LAMBORGHINI Zamani nilinunua magari mashuhuli sana ya gran Turismo na katika kila hizi gari nililinunua niliona zina...
6 Reactions
6 Replies
2K Views
MWALIMU NYERERE NA SHEIKH THABIT KOMBO Rais Ali Hassan Mwinyi anaeleza katika kitabu chake kuwa Sheikh Thabit Kombo ndiye aliyependekeza jina lake kwa Mwalimu Nyerere awe Rais wa Zanzibar...
1 Reactions
0 Replies
779 Views
HIP HOP IN ZANZIBAR... MUziki wa Rap ni Muziki pekee ambao hutoa Elimu kwa jamii kutokana na aina ya Tungo au Mashairi wanayoimba wasanii wanaofanya Muziki Huo .. Kwa Hapa Tanzania tuna list ya...
1 Reactions
0 Replies
799 Views
Hapo chini kuna "Memories" post niliyoandika baada ya kutoka kumbukumbu za Rais Ali Hassan Mwinyi. Ukiwa umesoma kitabu cha Mzee Mwinyi na ukawa umesoma kitabu cha Abdul Sykes (1998) utaona kuna...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
SIKU YA MWANAMKE DUNIANI Gazeti la Mwananchi la leo limechapa makala ambayo walinitembelea Maktaba nami nikawazungusha katika mitaa ambayo wanawawake wa Tanganyika walikuwa hawapunguia katika...
0 Reactions
1 Replies
789 Views
Wakuu Habari za uzima? Natumai harakati zinaendelea za kulijenga Taifa. Napenda kuuliza vita ya MAJIMAJI iliyoongozwa na babu yetu kinjekitilingwale, je walikuwa mashujaa wa kutumia maji kama...
3 Reactions
8 Replies
937 Views
Mwanaume mmoja alipanda ndege ya Shirika la ndege la Northwestern Airlines akiwa peke yake, akibeba bomu kwenye mkoba kwa urahisi kama ameshika faili la nyaraka za ofisi. Aliteka ndege hiyo na...
5 Reactions
5 Replies
2K Views
RAIS ALI HASSAN YALIYOMFIKA NA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI ''Tanzania Press Club hosted Reverend Christopher Mtikila, secretary of Full Salvation Church. In that press luncheon Mtikila attacked...
0 Reactions
0 Replies
643 Views
Back
Top Bottom