Yaliyomfika Rais Ali Hassan Mwinyi katika utawala wake 1985 - 1995

Mohamed Said

JF-Expert Member
Nov 2, 2008
20,857
30,205
Kwa hakika kipindi cha utawala wa Mwinyi hakupungukiwa na watu waliokuwa wanaona raha kumshambulia.

Ilisikitisha kuwa kulikuwa na magazeti yalimpa nafasi Reverend Mtikila kumshambulia Rais.

Kuna baadhi ya vijana wa wakati ule waliona wana wajibu na dhima kubwa ya kumtetea Rais pale ilipodhihiri kuwa hakuwa na mtetezi.

Nilikuwa mmojawapo wa vijana walioamua kumtetea Rais Mwinyi.

Namsoma Rais Mwinyi, ''Mzee Rukhsa Historia ya Maisha Yangu,'' na natingisha kichwa kwa mengi ninayokutananayo.

Natingisha kichwa kwa kuwa baadhi ya matukio na mambo yaliyomo kitabuni mimi na wenzangu tuliyafahamu kwa undani na tuliyaandika kwa yale yaliyostahili kuandikwa na mengine tuliyanyamazia.

Hapo chini kuna "Memories" post niliyoandika baada ya kutoka kumbukumbu za Rais Ali Hassan Mwinyi.

Ukiwa umesoma kitabu cha Mzee Mwinyi na ukawa umesoma kitabu cha Abdul Sykes (1998) utaona kuna mambo muhimu na mazito yamepishana kwa kiasi kikubwa.

Nilipata kumpa kitabu hicho Mzee Mwinyi nikiwa na nia akisome na ajue mchango wa Waislam katika kupambana na wakoloni kuanzia enzi za Vita Vya Maji Maji 1905.

Picha yangu hiyo hapo chini nikimkabidhi Rais Mstaafu Mzee Ali Hassan Mwinyi kitabu cha Abdul Sykes.

May be an image of 4 people and people standing

Mzee Ruksa aliomba msaada wa kutetewa?
Kumbe uchawa hujaanza leo
Mdukuzi...
Bahati mbaya kwako huna lugha ya kistaarabu.

Ungejiepusha na naneno kama haya "chawa," na ukataka mjadala wa kisomi ningeandika hapa mambo ambayo sote tungenufaika.

Lakini nitakudokeza kitu.
Walikuja watu kutuomba msaada na ilikuwa katika sakata la OIC mwaka wa 1993.

Bunge limekuja juu dhidi ya Rais Mwinyi.

Wahariri wa magazeti yote hadi magazeti ya CCM yako dhidi ya Rais.

Rais alikuwa mpweke hana msaada wa yeyote.

Hapo tukaingia katika mapambano.
Barua yetu ya kwanza tulimwandikia Speaker wa Bunge Pius Msekwa.

Sikiliza ndugu yangu.
Barua ile iliwashtua.

Wakauliza hawa ni Waislam kweli?
Hawakupata kusoma barua kama ile.

Angalia hiyo picha ya gazeti la African Events (London) Rais Mwinyi yuko kwenye meli inayoshambuliwa baharini na mabomu.

Katika miji mikubwa tukamwaga barua zinazoeleza kwa nini Rais anapigwa vita na chama chake na watendaji wa serikali.

Ukiwa mstaarabu na unataka kusoma.

In Shaa Allah nitakusomesha na mjadala huu utapendeza.
 
Shida ya mleta mada ni udini, karibu kila kitu anakileta na kukitetea kwa mrengo wa dini ya kiislamu. Hii sio sawa na sio sahihi. Leo anamzungumzia Mwinyi hapa kwa misingi ya kidini, hivyo atampamba kwa lolote kwa sababu Mwinyi ni muislamu.
Zanziar...
Sijampamba Rais Mwinyi.
Nimeeleza yale yaliyomfika katika utawala wake.
 
Mdukuzi...
Bahati mbaya kwako huna lugha ya kistaarabu.

Ungejiepusha na naneno kama haya "chawa," na ukataka mjadala wa kisomi ningeandika hapa mambo ambayo sote tungenufaika.

Lakini nitakudokeza kitu.
Walikuja watu kutuomba msaada na ilikuwa katika sakata la OIC mwaka wa 1993.

Bunge limekuja juu dhidi ya Rais Mwinyi.

Wahariri wa magazeti yote hadi magazeti ya CCM yako dhidi ya Rais.

Rais alikuwa mpweke hana msaada wa yeyote.

Hapo tukaingia katika mapambano.
Barua yetu ya kwanza tulimwandikia Speaker wa Bunge Pius Msekwa.

Sikiliza ndugu yangu.
Barua ile iliwashtua.

Wakauliza hawa ni Waislam kweli?
Hawakupata kusoma barua kama ile.

Angalia hiyo picha ya gazeti la African Events (London) Rais Mwinyi yuko kwenye meli inayoshambuliwa baharini na mabomu.

Katika miji mikubwa tukamwaga barua zinazoeleza kwa nini Rais anapigwa vita na chama chake na watendaji wa serikali.

Ukiwa mstaarabu na unataka kusoma.

In Shaa Allah nitakusomesha na mjadala huu utapendeza.
Hichi ulichokiandika hapa sio kweli na sio sahihi kabisa. Mleta mada umepotosha kwa sehemu kubwa.
Ngoja nifafanue jambo.

Kuhusu Magazeti, sote tunajua mwenyekiti wa CCM ndio mhariri mkuu wa magazeti ya CCM (Uhuru na Mzalendo), sasa Rais Mwinyi alikubali vipi magazeti anayohusika 'kuyahariri' yeye yamchafue na asifanye chochote. Pili, Rais ndio mwajiri mkuu na msimamizi wa magazeti ya serikali (Daily news na Sunday news), vipi ashindwe kuchukua hatua dhidi ya chombo anachokimiliki na kukisimamia?

Kuhusu Mwinyi kukosa watu na wanasiasa wa kumtetea kwenye issue ya OIC, nao ni uongo mkubwa. Suala la OIC lilisukumwa na kuonekana kuwa na mtazamo wa kidini zaidi, hivyo ingekuwa ni ajabu ya karne kwa wanasiasa, wasomi na wananchi wenye imani ya kiislamu kukaa kimya wakati Mwinyi akishambuliwa kuhusu suala la OIC.

Tuwe wakweli jamani, kipindi kile cha kutaka kujiunga na OIC jamii ya kiislamu ilijipanga kimkakati mnoo (huenda kuliko kipindi kingine chochote toka nchi hii inapata uhuru) kuhakikisha iwe mvua au jua Tanzania inajiunga na OIC, Mwinyi alikuwa ni jemedari wa mstari wa mbele tu aliyekuwa anatumika na waislamu, isingewezekana Mwinyi kusimamia jambo ambalo halina mtetezi otherwise tuseme OIC ilikuwa project binafsi ya Mwinyi kunafaika au waislamu walikuwa mambumbumbu wasiojua faida za OIC kwa imani yao na kijamii kiasi cha kukaa kimya (jambo sikubaliani nalo).
 
Zanzibar...
Umeeleza unayoyajua na kuamini na mimi hapo chini nakueleza ninayoyajua bahati mbaya makala hii ni sura kutoka mswada wa kitabu na nimeandika kwa Kiingereza:

Nowhere in the history of Tanzania did the power of the Church displayed openly in the instruments of power in its entirety than in the OIC saga. Before this probably Zanzibari MPs were not aware of the existence of the under currents against Islam. Since cabinet ministers as a matter of principle could not oppose the government in the House, ministers colluded with back-benchers to oppose their own government with the aim of embarrassing President Mwinyi. Sensitive government documents were exchanged on such paltry favours from the MPs. The Christian Lobby (Mfumo Kristo) in the Parliament was more than willing to do the dirty work. Reports that Zanzibar had joined the Organisation of Islamic Conference (OIC) and Islam in Africa Organisation (IAO) came at a time when there was religious tension in the country. The story goes that the Zanzibar government first requested the government of the United Republic to apply for observer status of the OIC in 1989. The then Prime Minister, Joseph Warioba referred the application to Deputy Prime Minister Salim Ahmed Salim. Salim a Zanzibari Muslim himself blocked the application on the grounds that the OIC would meddle in Tanzania’s political affairs. [1]

The government of the United Republic refused to apply for observer status. Zanzibar then decided to go it alone. Soon it was in the press that Zanzibar had joined the OIC. The controversy caused the Christian Lobby to organise itself into a group of 55 MPs who were later to be known as G55, to demand restoration of the government of Tanganyika within the union. This threatened the union between Tanganyika and Zanzibar. Unique with the G55 was that all of them were from a distinct group in the Parliament which had excelled and was known throughout the country and inside and outside the Parliament for its subtle anti-Muslim stand. But as tension between Muslims and Christians increased and came out into the open, the Christian Lobby’s hatred of Islam manifested itself on Prof. Malima - a moving spirit of Muslim’s struggle for justice and equality. This was the first time that it became clear that Church was indeed in control of all instruments of power in Tanzania.

When the Minister for Foreign Affairs and International Co-operation, Ahmed Hassan Diria was quizzed by the press he denied that Zanzibar had joined the OIC. Diria issued a statement denying those reports. The ink on Diria’s statement was barely dry when copies of official documents proving Zanzibar’s application and acceptance by the OIC were published in the press. It is believed that the letters which were published by the press which for the first time brought the OIC into public notice were stolen from a confidential file of the Chief Minister’s Office in Zanzibar.[2] What caused concern was the connection between OIC and Islam in Africa Organisation (IAO). It was reported that the OIC had a secret agenda to annihilate Christianity in Tanzania through the Islam in Africa Organisation (IAO). Further the problem of Zanzibar membership to the OIC was connected with the so called conspiracy of the OIC to undermine the Church. The Christian Lobby approached the issue of OIC not as a serious breach of the constitution but also as an hostile act of one part of the union forming a conspiratorial alliance with an organisation which its main objective was to annihilate Christianity in Africa. In response to this the Church, the press and the ordinary Christian in the street was up in arms against a Muslim president who allowed his government to conspire against the “peaceful Church.” The Christian Lobby in the Parliament had evidence to prove the allegations. Among the objectives of the IAO which caused the concern of the Church were purported to be taken from a “secret document,” which carried the following IAO objectives:
1. To ensure the appointment of only muslims into strategic national and international posts of member nations. To eradicate in all its forms and ramifications all non-muslims religions in member nations (such religions shall include Christianity, Ahmadiyya and other tribal modes of worship unacceptable to Muslims).
2. To ensure that only Muslims are elected to all political posts of member nations.
3. To ensure the declaration of Nigeria (the 24th African and 46th World member of the OIC) a Federal Islamic Sultanate at a convenient date any time from 28th March, 1990, with the Sultan of Sokoto enthroned the Sultan Supreme Sovereign of Nigeria.
4. To ensure the ultimate replacement of all member nation before the next Islam in Africa Conference. Towards the attainment of these ends, therefore, a Steering Committee, with membership drawn from the following countries as well as the Islamic Council, London and the Organisation of Islamic Conference, OIC, has began set up, viz: Nigeria, Mauritania, Tanzania, Niger, Senegal, Sudan, The Gambia, Libya, Tunisia...the Steering Committee should also work out detailed plans for transforming a national political party in each member nation into a National Islamic Party... These political parties so approved shall be the only ones to produce leading government (executive and legislative) functionaries... [3]
When this “evidence” was presented to the government by the press the President did not know what to do. The OIC issue was not even taken as a government crisis which concerned the cabinet. In a predominantly Christian government the Christians in the cabinet considered themselves an aggrieved party. They folded their hands and sent on the fence to see the ship sink. It was left to the G 55, the fiery Christian back-benchers in the Parliament to take President Mwinyi to task. The Christian Council of Tanzania (CCT) issued a strong worded statement condemning the government. The Christian Lobby joined by few Muslims in the Parliament demanded immediate withdrawal of Zanzibar from OIC. The Christian Lobby wrote to the Deputy Speaker, Pius Msekwa demanding an inquiry into the matter. This request was granted and the Parliamentary Constitutional and Legal Affairs Committee headed by Philip Marmo. Among the committee members were Joseph Warioba, a former Vice-President and Prime Minister dropped from the cabinet by Mwinyi. Apart from two Muslims, the rest in the twelve-man committee were Christians. Muslims dismissed the committee as “church committee” which could never conduct its affairs with impartiality.

As the conflict escalated in the press it became clear that there was more than what the Minister for Foreign Affairs was willing to reveal. When it was admitted that Zanzibar had indeed joined the OIC and IAO despite of all the denials and had in fact even attended one of OIC meeting, the Parliament threatened to impeach the President for contravening the constitution of the United Republic of Tanzania. When President Mwinyi thought all was lost, hope and solution to the quagmire came from unexpected quarters - the Baraza Kuu. How did Baraza Kuu come to be involved in the crisis? Muslim ministers in the government sent an emissary to make contact with the Muslim underground movement where a formal request was put forward asking for assistance against the Christian Lobby. My informant reported that the representative of the underground demanded access to confidential documents from the government to enable it prepare a solid defense and to create a solid front line to attack the Christian Lobby. The government representative refused to provide documents saying it was too risky for him and his colleagues. This was a turnaround in the relation between the privileged Muslims in the government and the overall Muslims. Apart from Prof. Malima no Muslim wanted to be associated with the Muslim movement let alone admitting that it existed.
Somehow Baraza Kuu was able to come out with a well prepared line of defense. Baraza Kuu wrote to the Deputy Speaker and the letter copied to all Members of the House. Baraza Kuu was not defensive it went into attack and queried why the government refused to apply for membership when the Zanzibar requested it to do so. Baraza Kuu widened the theatre of conflict. Baraza Kuu accused the Parliament of being turned into venue for anti-Islam propaganda. Before 1985 when Mwinyi came to power there were no contradictions in the Parliament. Government business in the Parliament was plain sailing. Baraza Kuu went into gymnastics, introducing issues completely unconnected with the matter in the House. It pointed out at the Memorandum of Understanding which was an agreement signed clandestinely between the government and the Church in which government schools and hospitals were to be run by missionaries on grounds that the government no longer had the ability to support them. [4]
Baraza Kuu quizzed the Parliament why that did not raise government concern. [5] Baraza Kuu pointed out that minority Muslim countries like Uganda and Mozambique were members and there have been no complains of the OIC meddling in the affairs of those countries. The government of Tanzania does not want to join the OIC because it is its desire to weaken Muslims. Baraza Kuu impressed upon the House that if it were impartial it would have investigated the appeals on discrimination of Muslim on education but chose to ignore. [6] While the government was under this tremendous pressure from the Christian Lobby a Zanzibar Member of Parliament and Secretary of the CCM Youth Sukwa Said Sukwa, was quoted to have said that the only person who could solve the problem was Julius Nyerere. Nyerere’s response to Sukwa’s statement was that he was not going to involve himself in the problem unless first Zanzibar withdraws from the OIC. For the first time Julius Nyerere came out in the open to show his true feelings against Islam and Muslims of Tanzania. Zanzibar withdrew from the OIC and Hassan Diria was relieved of his post as Minister for Foreign Affairs. But what is significant in this episode is that for the first time the government came to realise that it was now dealing with a different crop of Muslims. It is reported that one of the ministers in the Christian Lobby having read a letter from Baraza Kuu remarked that, “These are not the Muslims we know.”

[1] Salum Khamis Supreme Council of Islamic Organisations and Institutions (Baraza Kuu) to the Speaker of the National Assembly letter BK/1.5/ 1 June,1993. Also see Mfanyakazi, 27 January, 1993.
[2] During Mwinyi’s government many confidential documents were stolen and exposed to general public through the press.President Mwinyi confided to close associates that he lived under perpetual fear of being bugged by his own security personnel. Indeed a conversation between Principal Secretary Ministry of Foreign Affairs, Dr. Ibrahim Msabaha and the Tanzania Embassy in Washington was bugged and transcript of the conversation published in the private press. Dr Msabaha went to court to contest the publishing of confidential government information and lost the case with costs.
[3] Quoted from a letter from Baraza Kuu to the Deputy Speaker, The National Assembly, BK/J/1.5/93 of 3 February, 1993.
[4] This agreement was prepared by Dr. Costa Mahalu, Dar es Salaam University Faculty of Law and was signed by Minister of State in Prime Minister’s Office and First Vice-President, Edward Lowassa. The main purpose of the agreement was to turn over education, health and social services to Christian Council of Tanzania (CCT) and Tanzania Episcopal Conference (TEC). These social services were to be run jointly between the government and the Church. This agreement, that is, the Memorandum of Understanding was prepared and signed without even consulting or informing Muslims. In order for the memorandum to take effect the government had to amend article 30 of the Education Act No. 25 of 1978. In 2011 the government provided 91 billion shillings to the Church for its development activities.
[5] See Mfanyakazi, 27 Januari, 1993, “Barua ya Wazi kwa Naibu wa Spika: Bunge la Muungano.” Also Salum Khamis, Mwenyekiti Baraza Kuu to Naibu Spika, BK/J1.5/93 of 19 January, 1993.
[6] Warsha ya Waandishi wa Kiislam, “Hoja ya Kuchunguza Dhulma Dhidi ya Waislam wa Tanzania Katika Elimu ya Juu,” 18 Julai, 1991.
 
Mkuu wa nchi,Amiri jeshi mkuu,Rais ,mwenyekiti wa chama,anaomba msaada wa mohamed said,
Mdukuzi,
Ipo faida kubwa ukajizuia na kejeli tukafanya mjadala wa kuheshimiana.
Mathalan ungesema hivi, "Ilikuwaje Ofisi ya Rais ikawa dhaifu kiasi hiki?"

Hivi mimi nitakuchukua kama mtu muungwana anaetafuta ukweli.

Usidhani mimi nafanya maskhara.
Nakueleza mambo yaliyotokea kweli.

Nyaraka za siri na muhimu za serikali zilikuwa zinavuja zinawafikia wahariri wa magazeti.

Najizuia kukueleza mengi yaliyokuwa yakitendeka.
Lakini ikiwa wewe unadhani mimi ni mtu unaeweza kunikejeli si neno.
 
Mi napenda kukutania pale unapoandika mambo ya utata kama haya dont take it personal,nakuchallenge ili udadavue .
 
Haya si mambo ya maskhara.

Mzee Mwinyi kashindwa kuandika ukweli huu katika kitabu chake.

Kanisa lina nguvu kubwa ndani ya CCM na serikali kama vile Uislam ulivyokuwa na nguvu katika TANU wakati wa kupigania uhuru wa Tanganyika.
 
Ukiachana na huu upuuzi wene nadharia chonganishi, ufitini na maudhui ya kusambaza chuki ndani yake. Hao waliomzunguka mwinyi ni wabantu, ww na mwinyi ndio wabantu. Maisha yako mpaka uzee huo kazi yako ni kuwasema vibaya maraisi wakristu, jamii kubwa ya wakristu kiujumla na kusambaza chuki dhidi ya kanisa na wakristu. Neno langu ni moja ulizaliwa kanisa ukalikuta na utakufa utaliacha likiendelea kunawili wewe sio wa kwanza walikuepo na sasa Hawapo ila kanisa lipo matendo yako yatakuhukumu. kwene uhalisia mtaani tunaishi kwa amani sana licha ya tofauti zetu kiimani na uwepo wa waovu wachache kama wewe mixa wale magaidi wa Zanzibar na ndugu zao ndio kundi lene chuki dhidi ya wengine afu kwisho wa siku haya ni maisha na watu tunaishi. Kila mkristu kwako ni mbaya, kanisa nalo mbaya ila muislam sawa, msikiti sawa. Utakufa na ghiriba rohini mwako mzee embu jisahihishe uzeeke vizuri.
 
Kipindi cha JPM asingethubutu kuandika huu ujinga,alikuwa anaandika kiuogauoga sasa anamwaga sumu adharani snajua hakuna wa kumfanya kitu ni mpotoshaji mkubwa huyu mzee
 
1988 Kwny Halmshauri kuu Hayati Mchungaji Mtikila alitoa waraka wa matusi ya nguoni kabisa kwa Mzee Ally Hassan Mwinyi

tulishangaa kabisa tena alikuwa akiungwa mkono na wahafidhina
Mtikila Alipewa nafasi Kwa sababu alikuwa anaongea mambo yanayogusa watu isitoshe Mtikila aliokuwa anamshambulia hadi baba wa taifa na kumwita mtusi sijuik kama ulijitokeza kumtetea
 
Kipindi cha JPM asingethubutu kuandika huu ujinga,alikuwa anaandika kiuogauoga sasa anamwaga sumu adharani snajua hakuna wa kumfanya kitu ni mpotoshaji mkubwa huyu mzee
Mdukuzi,
Umeghadhibika.

Ghadhabu huondoa uwezo wa kufikiri sawasawa.
JF iko hapa ingia na angalia nime-post mara ngapi kuanzia 2016.

Lakini usiishie hapo ingia YouTube na angalia nimefanyiwa mahojiano mara ngapi na BBC, DW, SABC, TBC na AZAM na Online TV.

Ningekuwa mpotoshaji ningeshatengwa siku nyingi na vyombo hivi vikubwa.

1658432838243.png
1658432888386.png
 
Ukiachana na huu upuuzi wene nadharia chonganishi, ufitini na maudhui ya kusambaza chuki ndani yake. Hao waliomzunguka mwinyi ni wabantu, ww na mwinyi ndio wabantu. Maisha yako mpaka uzee huo kazi yako ni kuwasema vibaya maraisi wakristu, jamii kubwa ya wakristu kiujumla na kusambaza chuki dhidi ya kanisa na wakristu. Neno langu ni moja ulizaliwa kanisa ukalikuta na utakufa utaliacha likiendelea kunawili wewe sio wa kwanza walikuepo na sasa Hawapo ila kanisa lipo matendo yako yatakuhukumu. kwene uhalisia mtaani tunaishi kwa amani sana licha ya tofauti zetu kiimani na uwepo wa waovu wachache kama wewe mixa wale magaidi wa Zanzibar na ndugu zao ndio kundi lene chuki dhidi ya wengine afu kwisho wa siku haya ni maisha na watu tunaishi. Kila mkristu kwako ni mbaya, kanisa nalo mbaya ila muislam sawa, msikiti sawa. Utakufa na ghiriba rohini mwako mzee embu jisahihishe uzeeke vizuri.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom