Napenda kujua vita ya MAJIMAJI waliopigana ni mashujaa au walikosa elimu?

passion_amo1

JF-Expert Member
Dec 3, 2023
1,578
3,148
Wakuu Habari za uzima?

Natumai harakati zinaendelea za kulijenga Taifa.

Napenda kuuliza vita ya MAJIMAJI iliyoongozwa na babu yetu kinjekitilingwale, je walikuwa mashujaa wa kutumia maji kama silaha au walikosa Elimu ya vita?

Wana Historia mtupe madini.
 
Hahahhaa hii observation yako ni nzuri sana ila naomba mimi niitazame kwa namna ya tofauti, na huenda nikakubaliana na wewe kuwa walikosa elimu ya vita. Kwenye maisha kuna nyakati ambazo akili ya darasani inaishia ukomo, unakua huna option nyingine zaidi ya kwenda mbele na ili uendelee mbele unahitaji, sacrifice, commitement and determination hivi vyote vikiwa wrapped kwenye kitu inaitwa HOPE.

kwahio kweli hawakua na elimu ya "VITA" vya Kigeni (to be specific) hivyo njia rahisi ikawa ni kuwapandisha mzuke/kuwatia mori wapiganaji ili kuwa hata kama "tutashindwa' ila tutakua tumejifunza jambo. Umenikumbusha story ya Mama aliyechemshan mawe akiwaamisha watoto wake kwamba chakula kiko jikoni kinachemka na kitaiva wale.
 
Wakuu Habari za uzima?

Natumai harakati zinaendelea za kulijenga Taifa.

Napenda kuuliza vita ya MAJIMAJI iliyoongozwa na babu yetu kinjekitilingwale, je walikuwa mashujaa wa kutumia maji kama silaha au walikosa Elimu ya vita?

Wana Historia mtupe madini.
Hapa watakuja watu wenye kutaka kusifia uzalendo wa kinafiki.

Kwenye machaguo uliyotoa hapo jibu sahihi ni kukosa elimu ya vita ukiongezea na ujinga,

hakuna ushujaa wowote hapo.
 
Wakuu Habari za uzima?

Natumai harakati zinaendelea za kulijenga Taifa.

Napenda kuuliza vita ya MAJIMAJI iliyoongozwa na babu yetu kinjekitilingwale, je walikuwa mashujaa wa kutumia maji kama silaha au walikosa Elimu ya vita?

Wana Historia mtupe madini.
Both.
 
Back
Top Bottom