KUTOKA UWANJA WA MKAPA HADI UWANJA WA MWALIMU NYERERE NYOTA WA YANGA
Mwanangu Taufik ni mpenzi mkubwa wa Yanga na mimi ni Mnyama.
Kwa kweli nateseka sana maana baada ya zile hamsa yeye ni...
JUMA DUNI HAJI
Nilikutana na Juma Duni Haji kwa mara ya kwanza chumbani kwa Maalim Seif Starlight Hotel mwaka wa 1995 CUF ikiwa katika harakati za Uchaguzi Mkuu wa kwanza baada ya kurejeshwa...
GEORGE ARNAUTOGLU
Ukumbi wa Arnautoglu ulikuwa ukumbi maarufu sana Dar es Salaam katika miaka ya 1950 na shughuli nyingi za kijamii na za kiasi zimefanyika pale.
Jambo la kusikitisha sana ni...
Kama kuna kitu kizuri mzee wetu Ruksa alikifanya ilikuwa kumgomea mwalimu Nyerere kuondoa jina lake kwenye mchakato wa Urais 1985.
Ilikuwa hivi:
Mwalimu alikuwa na marafiki watatu kule zanzibar...
Mnamo Mwaka 1991 Pepe Kalle na bendi yake ya Empire Bakuba walikuja Tanzania kufanya onesho katika jiji la Arusha. Walipowasili Arusha, walikodi taksi iliyokuwa inaendeshwa na mwanamama Hidaya...
TAAZIA
Leo usiku saa tatu In Shaa Allah nitakuwa TV Africa Channel 2 Mubashara Kipindi Maalum cha Rais Mwinyi.
Wako King'amuzi cha AZAM Ingia Others.
Picha hapo chini Ukumbi wa Korea...
MLANGO UNAOJIFUNGUA KATIKA KITABU CHA MZEE MWINYI
Mzee Mwinyi Mashaallah hodari wa kuchekesha.
Katika kitabu chake, "Mzee Rukhsa..." anahadithia alivyokuwa mwanafunzi Uingereza alivyoshtuka...
Asili ya neno Morogoro ni Mluguru ili kujua zaidi twende pamoja.
KAMA utairejea historia ya Morogoro ya miaka ya kati ya 1870 hadi 1888, kipindi ambacho Sultan wa Zanzibar alikuwa Sayyed...
Papa John Paul II Mwaka 1990 alitembelea Tanzania na kukaribishwa na Rais Ali Hassan Mwinyi
Kumualika Papa aketiye Kitini pake Mtume Petro ni jambo moja lakini Mwaliko wako kukubaliwa ni jambo...
NINAVYOMKUMBUKA RAIS ALI HASSAN MWINYI (1925 - 2024)
Toleo hili la March 1993 linalomwonyesha Rais Mwinyi yuko kwenye meli inayopigwa mabomu ilikuwa ni ''lead story'' yangu katika jarida la...
Hebu tafakari kama German East Africa ingepata uhuru pamoja bila Rwanda Na Burundi kumegwa na Belgium baada ya ujerumani kushindwa vita vya kwanza vya Dunia;
Ingewezekana kama tungepata uhuru...
GUNDU LA ADDIS ABABA
Nina bahati mbaya na Ethiopia.
Hili la sanamu halinishangazi
Mara ya kwanza kufika Addis Ababa ilikuwa mwaka wa 1989 mwezi December kuelekea Christmas.
Mwaliko wangu...
"MAALIM SEIF, MAALIM SEIF, MAALIM SEIF"
Naangalia matangazo haya mubashara kutoka Bungeni, Dodoma. Hakika lilikuwa jambo la fedheha kwani kibwagizo kile cha jina la Maalim kilikuwa kinasema mengi...
Moja kwa moja kwenye mada.
Wakosoaji wameng'ang'ania 'oh watu walilazimishwa kuhama'
wengine wanadai
'oh Walikufa raia wengi sana wakati wa vijiji vya ujamaa'
"Vijiji vya ujamaa lilikuwa...
SANAMU YA ABRAHAM LINCOLN, LINCOLN MEMORIAL WASHINGTON DC NA SANAMU YA JULIUS NYERERE DODOMA
Abraham Lincoln sijapatapo kumuona hata siku moja ila katika picha.
Lakini huwezi kuniwekea sanamu...
NAMKUMBUKA RAFIKI YANGU ALI ABDALLAH KAZUA
Mwaka wa 2021.
Utasema jana.
Nilikuwa nikikaa na Kazua tunakumbushana mengi sana ya zamani.
Kazua siku moja kanipa kisa cha Mzee Mangara Tabu na Ayubu...
SHAJARA YANGU UCHAGUZI MKUU ZANZIBAR MPAMBANO WA MAALIM NA KOMANDO 1995
Miaka 29 sasa imetimu toka uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi mwaka 1995 baada ya mapinduzi na muungano mwaka wa 1964.
Niko...
MAALIM SEIF SHARIFF NA VIJANA WA TANZANIA BARA UCHAGUZI MKUU 1995 SEHEMU YA PILI
Katika mazungumzo yetu Starlight Hotel, Maalim Seif ni kama vile hakuweza kujiaminisha kuwa kweli Tanzania Bara...
MAALIM SEIF SHARIFF NA VIJANA WA TANZANIA BARA UCHAGUZI MKUU 1995 SEHEMU YA KWANZA
Miongo mitatu imepita, yaani miaka 30. Huwa napita Barabara ya Titi Mohamed nikitokea Mnazi Mmoja nakwenda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.