Kumbukizi ya miaka 40 ya kifo cha Waziri Mkuu Edward Moringe Sokoine imenikumbusha historia ya rafiki wa Sokoine Mzee Ali Mohamed Mead.
Mzee Ali Mohamed Mead alikuwa mfanyabiashara mkubwa na...
NDUGU WAWILI KATIKA HISTORIA YA TANU: STEVEN MHANDO NA PETER MHANDO
Imenichukua muda mrefu sana kuitafuta na kupata picha ya Steven Mhando na mdogo wake Peter.
Niliipata picha ya Peter Mhando na...
Utangulizi
Kuna wako wanaomtazama Dr. Dau kama ''Lecturer'' Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam.
Kuna wengine wanamtazama Dr. Dau kama Mkurugenzi wa Masoko Tanzania Ports Authority (TPA) na wengine...
Mwandishi William L. Shirer amefanya kazi ya kutukuka sana katika kitabu hiki.
Ni kitabu kirefu kidogo ila hebu fuatana na Mimi na nikuhakikishie, hautajua kimeishaje.. hisia na taarifa +...
MWANANGU MWANASITI KIJINO KAMA CHIKICHI...
Laiti kama kuta zingekuwa na masikio.
Picha hiyo ya kwanza hapo ni Muthaiga Country Club, Nairobi mwaka wa 1989 niko na Ally Sykes (1926 - 2013)...
HAPO ZAMANI ZA KALE
''Hadithi, hadithi.''
Msimuliaji atanadi kama vile anauza kitu.
Wasikilizaji wataitika ''Hadithi njoo, utamu kolea.''
Msimuliaji atajibu, '' Hapo zamani za kale...''
Simulizi...
KALAMU YANGU, RAIS ALI HASSAN MWINYI NA KITABU: ''MZEE RUKHSA: SAFARI YA MAISHA YANGU''
Makala hii fupi niliandika May 2021 baada ya kutoka kitabu cha maisha ya Rais Ali Hassan Mwinyi.
''Leo...
KUMBUKUMBU ZA RAMADHANI: FUTARI NYUMBANI KWA MAYOR KITWANA SELEMANI KONDO OYSTER BAY NA UPANGA
Katika makala fikra zangu zinarudi nyuma miaka mingi sana Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kama huu...
Kwa kifupi wakati mimi niko shule ya msingi katika miaka ya arobaini, Tanganyika ilikuwa imegawanywa katika majimbo (provinces) 8, ambayo ni: Lake, Northern, Tanga, Eastern, Southern, Central...
Kwa mujibu wa Kamusi ya Karne ya 21 iliyoandikwa na kuchapishwa na LONGHORN, Maana ya Maandamano ni "msururu wa watu wanaotembea kuelekea mahali Fulani kwa lengo maalum."
Kwa umri wangu huu...
NYONGEZA: Huyu ndiye Earle Edward Seaton kama anavyoelezwa na Abdul Sykes:
"Uingereza ilikuwa ikitawala Tanganyika chini ya kifungu 76 na 77 cha Mkataba wa Umoja wa Mataifa.
Kama mamlaka tawala...
Mzee Mshume Kiyate akimvisha Mwalimu Nyerere kitambi kumfariji baada ya maasi ya 1964
Aliyemshika Nyerere mkono kulia ni Mshume Kiyate, Max Mbwana na Mwinjuma Mwinyikambi Uchaguzi wa Rais 1962...
Most of the main players in the Nazi regime, probably including
Hitler, escaped. He and his lady Eva Braun did not die in the bunker,as history urges us to believe.
At least some of them went to...
Hii ni picha juu ni ya jamaa yetu (mwafrika) mwanaume anayenyongwa kwa kutumia kifaa cha kunyongea kiitwacho garrote.
Picha chini ni garrote inavyoonekana kwa karibu sana, usigukilie kifaa...
KAULIZA MUULIZAJI: ‘’KWA NINI MAJINA YA WAASISI WA TANU 1954 YAPO KATIKA HISTORIA YA UHURU WA TANGANYIKA LAKINI WAASISI WA AFRICAN ASSOCIATION 1929 HAYAONEKANI POPOTE?’’
Kijana alichonitafutia ni...
1. Reli ya Kwanza Tanzania Bara - Tanga 1893.
2. Shule ya kwanza ya Sekondari- Tanga 1890 (Tanga Old School).
3. Shule ya Kwanza (Anglikana) Tanzania 1848 - Tanga Magila Muheza.
4. Taasisi ya...
Nilikuwa Mwanza na nilitembelea wilaya za Magu na Sengerema. Huko nilikutana na ngoma za kina Ng'wana Ituli,wanacheza MBINA. Hii ni ngoma inayochezwa kipindi cha kiangazi baada ya mavuno...
Huyu Bwana yuko zake Kimara Bucha kwenye kasri au tuite hekalu lake mithili ya ikulu ndogo ya Singida, anakula bata huku akilea wajukuu, ameshazeeka sasa.
Yeye na kizazi chake walipigwa ban...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.