Mohamed Said anahoji inakuwaje historia ya chama kikubwa kama TANU, kilichoongozwa na Mwalimu Julius Nyerere, imepotea kiasi kwamba waasisi wake hawafahamiki wala kazi zao hazijulikani. Anasema...
Juni 27 ni siku ya 178 ya mwaka katika kalenda ya Gregorian (au ya 179 kama ni mwaka mrefu), huku zikiwa zimesalia siku 187 kabla ya mwaka kwisha.
Katika upande wa maadhimisho na siku kuu...
KUMBUKUMBU YA KIFO CHA HASSAN UPEKA
Naweka picha nilizopiga tarehe 28 October 2010 nyumbani kwa Hassan Upeka Mwananyamala wakati wa maziko yake.
Kleist Sykes katika ''memoir'' zake alizoandika...
https://youtu.be/8DNwD9U2mks
WASWAHILI WA MAREKANI
Huyu mwandishi Nathaniel Mathews tunafahamiana na kwa kiasi fulani alikuwa kama mwenyeji wangu nilipokwenda Northwestern University...
Sherehe kubwa itakayowakutanisha Watanzania kutoka Kabila la Wangoni inakuja. Itafanyika jijini Dar es Salaam. Lakini pia watu kutoka makabila mengine watapokelewa kuhudhuria.
Sherehe hii itakuwa...
KUTOKA PEMBA: SURA USIYOIJUA YA ‘’FIELD MARSHAL’’ JOHN OKELLO
Historia ya Mapinduzi ya Zanzibar ya mwaka wa 1964 haiwezi kukamilika bila ya kumtaja John Okello.
Ukweli ni kuwa historia ya...
Kulingana na vyanzo ulivyotoa, hususan katika simulizi ya mwanahistoria Mohamed Said kuhusu kumbukumbu zake za soka, hizi hapa ni nukuu na maelezo mahususi yanayohusu Moshi:
Kuhusu Makuzi na Timu...
Kujifunza Kiswahili ugenini: "Kitu kilichonishangaza ni pale niliponiambia kuwa yeye lugha ya Kiswahili kaisoma Marekani... asema mimi nimekuja Afrika Mashariki kuja kukipiga msasa kiswahili...
Huyu ni Mmoja wa Mashujaa wa miaka ile aliyeshiriki kuwaondoa Makoloni huko Zanzibar. Kama ambavyo Bara nao walikuwa wameondoa wao.
Anasimulia mzee wangu ambaye alikuwa Mwalimu Chuo Kikuu cha Dar...
Kulingana na vyanzo ulivyotoa, mwanahistoria Mohamed Said anachambua mzozo kati ya Iran na Marekani akizingatia athari zake kwa mataifa ya Ghuba na mabadiliko ya nguvu za kijeshi duniani. Hizi...
RANU TOKA CHAMA KUAMINI KATIKA MOVUMENTI AU VUGUVUGU LA MANENO HADI KUWA RPF KUINGIA MSITUNI
06 JULAI 2026
How Rwandan Refugees SECRETLY Built a Rebel Movement in Uganda & Kenya | Tharcisse...
John Okello alikuwa Mzaliwa wa Uganda ambaye aliongoza Mapinduzi ya Zanzibar ya tarehe 12 Januari 1964 yaliyomuondoa madarakani Sultani Jamshid bin Abdullah. Hata hivyo, baada ya mapinduzi hayo...
Sifa ya Upole na Jina la "Mzee Ruksa": Msimulizi ananukuu maneno ya Mwalimu Julius Nyerere ambaye alimtaja Mwinyi kama mtu mpole sana ambaye hawezi kuwa dikteta. Kuhusu jina la "Mzee Ruksa", mzee...
MWANAMAPINDUZI JOHN OKELLO
John Okello ambaye aliongoza Mapinduzi ya Zanzibar alizaliwa mwaka 1937 huko Uganda katika kabila la Lang'o ambalo pia ni la Rais wa Zamani wa Uganda Milton Obotte...
Karibu kwenye Kutoka MAKTABA ya MOHAMED SAID PODCAST.Katika kipindi hiki tunafanya uchambuzi wa kina kuhusu mzozo unaoendelea kati ya Iran, Marekani na Israel, tukitafakari historia, siasa za...
Video uliyoweka inahusu maelezo ya mwanahistoria Mohamed Said kuhusu Abu Shiri (Bushiri) bin Salim Al Harith na jitihada za kufuatilia kizazi chake na historia yake ambayo haifundishwi sana...
Miongo minne iliyopita...
Hiyo makala "Now You See Him Now You Don't," yenye jina True Muslim huyo ni Mohamed Said.
Baada ya makala hii sikuficha tena jina langu.
Hii makala Ally Sykes aliisoma...
HOFU YA KUDHIBITI DEMOKRASIA NA WANASIASA ILIVYO MPONZA MADIBO KEITA, RAIS WA KWANZA WA MALI KUTOKA KUWA SHUJAA MPAKA KUWA MFUNGWA ALIYEFIA GEREZANI.
Na Comred Mbwana Allyamtu.
Thursday -...
HIi Documentary kihalisia imezungumzia Lissu na Madhira yake
Kwan ni uongo Lissu amekua anaharasiwa na Polisi?
Ni uongo Lissu amekua hakamatwi?
Ni uongo Lissu amekua anafunguliwa Kesi?
Ni uongo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.