Jukwaa la Historia

On JF:

Ndege za Burundi zinazosadikiwa kuendeshwa na wafaransa zavamia vijiji vya Mkoa wa Kigoma. Ilibainika baadae South Africa, Msumbiji, Ufaransa na Marekani walikuwa nyuma ya Burundi. South Africa...
4 Reactions
11 Replies
1K Views
Zama za mfumo wa chama kimoja nchini Malawi chini ya chama cha Malawi Congress Party (MCP) kilichokuwa kinaongozwa na Hastings Kamuzu Banda, siasa za nchi hiyo zilikuwa za kuogofya sana na zilijaa...
25 Reactions
30 Replies
911 Views
WAPINZANI TANZANIA BADO WAMEMKALIA KOONI WAZIRI KATAMBI Nibaada ya waziri wa mambo ya ndani Tanzania Patros Katambi akijibu swali la mwandishi kuwa ametumia kifungu gani cha sheria kufungia...
0 Reactions
1 Replies
93 Views
John Mgandu alikuwa mtunzi hodari wa nyimbo za kikatoliki. Binafsi ni mpenzi mkubwa wa nyimbo zilizotungwa na John Mgandu. Ifuatayo ni orodha ya midi za nyimbo zilizo...
9 Reactions
93 Replies
42K Views
https://youtu.be/kviafI7ro8I?si=vqeBCWGKxnDdri8j
0 Reactions
5 Replies
131 Views
Habari wakuu Leo nmemeona nishee kidogo kuhusiana na na hii nchi iliyoanzishwa kimipango na Wala sio taifa teule. 1. Nianze hapa kwanza kabla ya vita ya pili ya dunia hapakua na taifa islaeli hii...
3 Reactions
8 Replies
111 Views
Kutakuwa na mgomo wa madereva wa malori yanayosafirisha mizigo kesho. Nimepakia mzigo wangu kwenye lori ila nimepewa angalizo, kwamba kesho hawatashusha sababu kutakuwa na mgomo. Labda kama...
1 Reactions
9 Replies
184 Views
KIBRI KITAANGAMIZA MAREKANI NA ISRAEL Tatizo kubwa la Marekani ni kibri. Hiki kibri kimewaelemea kiasi hawawezi kuwaza kama binadamu mwenye uwezo uliokuwa na kikomo. Hata hapa walipofikishwa...
19 Reactions
170 Replies
3K Views
Anaelezwa kuwa hakuwa alim (mwanachuoni) wa dini pekee, bali alikuwa mwanasiasa shupavu ambaye historia ya Tanganyika haiwezi kuandikwa bila kumtaja. Alikuwa na ushawishi mkubwa kwa viongozi wa...
4 Reactions
22 Replies
320 Views
Tarehe na mwezi kama wa leo (21. May. 1996) Tukiwa kama familia, tulikuwa tukivuna mpunga katika majaruba yaliyopo maeneo ya airport mwanza. Ghafla kupitia kijiradio kidogo cha mkononi (philips)...
1 Reactions
19 Replies
51K Views
MAKTABA IMETEMBELEWA NA OMARI KASSIM KIBASILA KINYING'INYA CHA PAZI KIBASILA Kijana Omari Kassim Kibasila leo ametembelea Maktaba na tumefanya kipindi kuhusu historia ya babu yake ambae umaarufu...
1 Reactions
7 Replies
135 Views
Kijana mhadhiri wa historia katika moja ya vyuo vikuu kanifahamisha upinzani dhidi yake jinsi anavyosomesha historia. Nimemwandikia hayo hapo chini: WAASISI WA AFRICAN ASSOCIATION 1929 NA AL...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
https://youtu.be/L8Y40el699k?si=SIJBG9P7sy_udvUs
0 Reactions
0 Replies
50 Views
Huyu mzee ameibadilisha kabisa historia ya Tanganyika na Tanzania ambao wengi hatukuijua. Kwa mfano wanawake 10 Bibi Titi Mohammed Mhamasishaji mkuu wa TANU (1955–1959). Mohammed Said anasisitiza...
2 Reactions
14 Replies
448 Views
https://youtu.be/YVI4Qfm93-k?si=fbpAmltWqZJXhUbH
0 Reactions
0 Replies
64 Views
Kutokana na kukua kwa teknolojia na Kusahaulika kwa Tamaduni zetu hasa kwa asilimia kubwa sisi Watanzania. Hii imetokana na imani zetu na dini zetu kulazimisha majiana ya tamaduni za wamissionari...
9 Reactions
116 Replies
44K Views
Katika maisha ya hapa bongo, unaweza kutana tu na mtu labda tuseme ni mfanyakazi mwenzako, au ni mfanyabiashara au hata bodaboboda akiendelea kupiga mishe zake tu za kawaida na mambo yanaenda...
12 Reactions
33 Replies
2K Views
Mafunzo kutoka The Partner-ship cha Mzee Jumbe https://youtu.be/r9ZQGyVcuW4
0 Reactions
0 Replies
47 Views
Back
Top Bottom