kuwa mara nyingi shujaa huyu anatajwa kwa jina moja tu la "Mkomanile," lakini jina lake halisi alikuwa Khadija Mkomanile. Anasikitika kuwa katika maadhimisho na maonyesho mengi, jina lake la...
Ndugu yangu mmoja kasoma taazia niliyomwandikia Dr. Mayanja Kiwanuka (Ahmed Kiwanuka) na baada ya kusoma akaniletea picha ya kibao cha Mtaa wa Kiwanuka ulioko Upanga na akanieleza kuwa Mtaa wa...
Pichani ni Mzee Bilali Mafumu Kalindula, mmoja wa wazee walioshuhudia enzi za utawala wa Kijerumani katika Tanganyika na anayekumbukwa kwa kushiriki katika shughuli za ujenzi wa meli maarufu ya...
Zikiwa zimesalia siku 27 kuifikia Agosti 14, 2026 ili kufanyika hafla kubwa ya Wangoni Traditional Party, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Balozi Dk. Emmauel John Nchimbi...
Kuhusu Dome Okochi Budohi (Mkenya aliyepigania Tanganyika)
Mchango wake katika TANU: "Dome Okochi Budohi... kadi yake ya tano... ni mtu alikuwa anajua kila siku na mimi nimepata mengi...
Jina lake halisi ni Bushiri Salum au Salum Bushiri... Hilo ndio jina lake halisi". Ingawa katika vyanzo kama Wikipedia na mitandao mingine anajulikana kama Abushiri au Bushiri al-Harthi, mjukuu...
Kulingana na vyanzo ulivyotoa, neno "maandamano" na harakati za kudai mabadiliko zimezungumziwa katika mazingira mawili tofauti: maandamano ya wananchi katika nchi za Ghuba dhidi ya kambi za...
Kulingana na vyanzo ulivyotoa, mwanahistoria Mohamed Said anasimulia kisa alichopewa na Mohamed Hamisi kuhusu Sheikh Said Omar Abdallah alipokuwa Ulaya akifanya kazi za kulingania dini (dawa)...
KIPINDI CHA RADIO KWA WANAFUNZI: VIONGOZI WA AFRIKA
Kipindi hiki akitangaza Mkurugenzi mwenyewe wa TBC Martin Kiama.
Niko Majengo Middle School, Moshi mwaka wa 1963.
Kipindi kinafunguliwa na...
Kwa kipindi kirefu kitabu cha Abdul Sykes kilikuwa hakipatikani kwa kuwa nakala zilikuwa zimekwisha (out of print).
Hiki ni kitu cha kawaida kwa kitabu kukosekana.
Kitabu cha Abdu Sykes ni...
Baadhi ya vitabu vya historia ya Zanzibar vilivyopo Maktaba
Huwa nasoma nyuzi hapa JF mtu anaandika kuwa John Okello ni Baba wa Taifa la Zanzibar.
Anaishia hapo.
Ukimuuliiza kama anajua historia...
Wakuu nawaambia Jambo Moja kabisa la UHAKIKA bila mbambamba.
SAMIA na Genge lake, wajifarague vipi, waruke, wake, wasimame ,wakimbie, wapae, yaan Hizo zote ni mbwembweeena HAZIWASAIDIII KITU...
CCM na Genge lao Wana ujinga wanauita "MARIDHIANO" .
Huuuu ujinga, ndio ambao NCHIMBI, anaupiga Vita .
Anawaambia Watanzania, 'Msiingie kwenye huo mtego'
Utangulizi
Kalamu ya Mh. Ally Saleh haiandiki bali inazungumza. Siku zote ninapomsoma Alberto siishi kushangazwa na uwezo wa fikra zake na jinsi anavyojua kuchagua maneno ya kutumia kumfanya...
Ipi ilikuwa siri iliyomzuia Salim Ahmed Salim kupata nafasi ya kuwa Rais wa Tanzania mara mbili, licha ya kuwa na wasifu (CV), uzoefu na sifa zilizotajwa kuwazidi wapinzani wake katika mchakato wa...
Yani una request halafu unaona simu inaingia mtu anakuuliza upo wapi pengine hata hiyo sehemu huifahamu au nivigumu kuwa na sehemu specific yneye jina .
Bolt andeni semina fundisheni watu wenu...
Kitendawili cha Nahashon Isaac Njenga Njoroge
Ilikuwa tarehe 5 Julai 1969. Jiji la Nairobi lilikuwa na hali ya hewa ya jua, barabara zilikuwa na pilikapilika za kawaida, na Tom Joseph...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.