Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 23,240
- 33,850
- Kujifunza Kiswahili ugenini: "Kitu kilichonishangaza ni pale niliponiambia kuwa yeye lugha ya Kiswahili kaisoma Marekani... asema mimi nimekuja Afrika Mashariki kuja kukipiga msasa kiswahili changu."
- Umuhimu wa kujua lugha za watu: "Mtume S.A.W. anasema mtu yeyote atakayekuwa amejifundisha lugha ya watu atakuwa ameaminiwa na vitimbi vyao. Yaani hawawezi wakamteta hawezi kufanya jambo ili asilijue."
- Ujuzi wa misemo ya ndani: "Nathaniel Matthews... ananisalimia kwa kiswahili na kiswahili kimenyooka... unataka kucheza ngoma na mzigo kichwani? Hawa watu kumbe wakijifundisha wanajifundisha vitu vingi."
- Wito kwa Waswahili: "Hatuna sababu sisi usemaji kiswahili tukawa hatukienzi ikiwa kiswahili sisi wanaienzi wageni."
View: https://youtu.be/8DNwD9U2mks