Jukwaa la Historia

On JF:

HIi Documentary kihalisia imezungumzia Lissu na Madhira yake Kwan ni uongo Lissu amekua anaharasiwa na Polisi? Ni uongo Lissu amekua hakamatwi? Ni uongo Lissu amekua anafunguliwa Kesi? Ni uongo...
4 Reactions
2 Replies
205 Views
NOW YOU SEE HIM NOW YOU DON'T: MKASA WA PICHA YA WAASISI WA TANU 1954 Miongo minne iliyopita... Hiyo makala "Now You See Him Now You Don't," yenye jina True Muslim huyo ni Mohamed Said. Baada ya...
1 Reactions
0 Replies
141 Views
Kuna mambo hayahitaji maelezo mengi. Nina furaha kuwafahamisha kuwa Digital Archive ya Mohamed Said imezinduliwa. Ingia hapo chini: https://mohamedsaidsalum.com
1 Reactions
1 Replies
160 Views
Abuu, Wazee wetu waliona balaa lililoikumba India kwa kuingia katika kudai uhuru vyama vyao viwili Congress Party kikiwa chama cha Wahindu na Islamic League kikiwa chama cha Waislam. Kila chama...
10 Reactions
126 Replies
2K Views
https://youtu.be/sESA440hvSs?si=xyq6R_sINF0ApN8g
1 Reactions
34 Replies
553 Views
MAKTABA YAPOKEA KALENDA INAYOELEZA HISTORIA YA UKOMBOZI WA AFRIKA KUSINI NA KITABU KUHUSU UBAGUZI KATIKA ELIMU Mmoja wa wapenzi walio mstari wa mbele katika kuitia nguvu Maktaba ameitunuku...
2 Reactions
0 Replies
88 Views
Hayati Bob Nyanga Makani alizaliwa mwaka 1936 katika Hospitali ya Kolandoto, Shinyanga. Alikuwa ni mmoja wa watoto wengi katika familia ya Mzee Makani. Alipokuwa na umri wa miaka sita, alianza...
9 Reactions
36 Replies
12K Views
Freedom and unity Freedom and socialism Freedom and development Poverty is bad but poverty in thoughts is worse Source: Personal development How Mwalimu Nyerere was heavily influenced by John...
4 Reactions
37 Replies
5K Views
Watoto wa 2000...... wakitazama haya mavazi na miondoko ya hii video watasema ni Gospel. song: pole kwa safari.
5 Reactions
23 Replies
336 Views
Mohamed Said, anasimulia: "Nikiwa mtoto mdogo katika miaka ya katikati ya sitini, nilikuwa nikisikiliza muziki wa Sal Davis... nikiimba na mwingine nikipiga kwenye gitaa langu. Siku moja baada...
2 Reactions
7 Replies
201 Views
Mkoa wa Mara unapatikana Kaskazini mashariki mwa nchi ya Tanzania. Kwa mujibu wa tovuti ya mkoa, kiutawala Mkoa umegawanyika katika Wilaya 6 ambazo ni; Musoma, Butiama, Bunda, Serengeti, Tarime na...
36 Reactions
194 Replies
36K Views
Nimeiona picha ambayo nilipiga na Ally Sykes Muthaiga Club Nairobi mwaka wa 1989. Miaka 37 imepita. Ally Sykes amefariki miaka 13 iliyopita. Bwana Ally alikuwa rafiki yangu na baba yangu lakini...
9 Reactions
93 Replies
968 Views
Hapa jamvini kumekuwa na mjadala mkali kuhusu historia ya uhuru wa Tanganyika. Watu wengi wamekuwa wakiniuliza kitabu kitapatika lini baada ya kuwa "out of print" kwa muda mrefu. Nina furaha...
5 Reactions
58 Replies
760 Views
Ili mimi kujipunguzia maswali kutoka kwa wale ambao hawajui chanzo cha vuguvugu la siasa na harakati za kudai uhuru wa Tanganyika angalieni video hiyo hapo chini...
3 Reactions
17 Replies
255 Views
Kila mchapaji nikimpa publisher atakaa na kitabu kile... kitabu kizuri sana lakini m siwezi kukichap kitabu... Haya mambo uliyoandika huyu bwana matatizo." Kuhusu madai ya kuwa na "obsession" na...
0 Reactions
0 Replies
64 Views
Mchango wa Sheikh Hassan bin Amir: Mohamed Said anaeleza kuwa Sheikh Hassan bin Amir, aliyekuwa Mufti wa Tanganyika miaka ya 1950 na 1960, alikuwa na mchango mkubwa kwa kuuza kadi za TANU ndani ya...
8 Reactions
63 Replies
595 Views
FAHAMU HISTORIA YA "WAPARE" WATU BAHILI ZAIDI TZ Wapare ni kabila kutoka milima ya Pare, Mkoa wa Kilimanjaro, kaskazini ya nchi ya Tanzania. Lugha yao ni Kipare ( Chasu). Wapare wanatokea katika...
27 Reactions
222 Replies
29K Views
Mwisho wa juma lililopita nilifanyiwa mahojiano na Online TV moja inayojikita kwa vijana. Mwisho wa mahojiano mtangazaji alinirushia swali lakini kwanza akanitahadharisha kuwa swali hilo ni langu...
13 Reactions
274 Replies
3K Views
Je, unajua kuwa tarehe 7 Julai 1954 (Saba Saba) haikuwa siku ya kawaida katika historia ya Tanzania? Miaka 72 iliyopita, ndani ya chumba kidogo cha mtaa wa New Street (sasa Lumumba Street), Dar...
1 Reactions
4 Replies
83 Views
Salute! Heshima yako mzee Mohamed Said natumai u mzima wa afya. Mzee hongera kwa uwezo wa uandishi wako wa makala za historia ya taifa letu hili. Mimi nimekua nikifuatilia sana mada zako hasa...
31 Reactions
272 Replies
26K Views
Back
Top Bottom