Vita Vya Iran na Marekani: Hatma

Vita Vya Iran na Marekani: Hatma

Mohamed Said

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2008
Posts
23,264
Reaction score
33,866
Karibu kwenye Kutoka MAKTABA ya MOHAMED SAID PODCAST.Katika kipindi hiki tunafanya uchambuzi wa kina kuhusu mzozo unaoendelea kati ya Iran, Marekani na Israel, tukitafakari historia, siasa za kimataifa, nafasi ya dini, na athari zake kwa ulimwengu wa leo.

Tunazungumzia simulizi zinazotolewa kuhusu mwitikio wa wananchi wa Iran baada ya matukio ya vita na mazishi ya viongozi wa kijeshi na kisiasa, pamoja na hoja kwamba umoja wa wananchi na imani vinaweza kuwa chanzo cha ustahimilivu wa taifa mbele ya shinikizo la nje.

Pia tunachambua jinsi matukio hayo yanavyotafsiriwa na pande tofauti katika siasa za kimataifa.🔍 Katika kipindi hiki utajifunza:

✅ Je, kwa nini Iran imeendelea kusimama licha ya vikwazo vya kiuchumi na mashinikizo ya kisiasa?
✅ Umoja wa wananchi wa Iran una nafasi gani katika siasa za ndani na za kimataifa?
✅ Je, mshikamano wa nchi za Kiislamu unaweza kubadili mwelekeo wa siasa za Mashariki ya Kati?
✅ Kuna uhusiano gani kati ya simulizi za mapambano ya Iran na historia ya Vietnam dhidi ya Marekani?✅ Mitandao ya kijamii ina nafasi gani katika kuunda maoni ya umma kuhusu vita na siasa za kimataifa?✅ Vijana wanawezaje kutofautisha taarifa sahihi na propaganda katika zama za taarifa nyingi?Kipindi hiki kinakualika kutafakari kwa kina kuhusu historia, siasa, dini na uhusiano wa kimataifa, huku ukihimiza wasikilizaji kuchunguza vyanzo mbalimbali vya habari na kujenga uelewa mpana wa masuala ya dunia.

View: https://youtu.be/CXFCWTBb08Y?si=SQN0YF8100KeZblJ
 
Rubbish🚮

Najua utatunga maneno mazuri ya kusuuza moyo wako ili kuonesha kuwa iran yupo ktika hali nzuri wakati anasambaratishwa.

Tofauti ya US/ISRAEL na nyie mnaofanya unyama, wao wanampiga iran strategically huku wakilinda uhai wa wananchi

Unadhani US hana nguvu ya kusambaratisha iran in one week?

Muda wenu unasogea, mtaangamia, mumeua na kubaka wayazidi na wakurdu kwa kutumia proxies zenu , nia yenu ni kusambaratisha wayahud na wakristo lakin kwa bahati mbaya inawatokea puani.
 
Ukishaelewa Maana ya forex basi usiniulize kwa nini dunia uchumi unaendaje.
FB_IMG_1784386254160.jpg
 
Rubbish🚮

Najua utatunga maneno mazuri ya kusuuza moyo wako ili kuonesha kuwa iran yupo ktika hali nzuri wakati anasambaratishwa.

Tofauti ya US/ISRAEL na nyie mnaofanya unyama, wao wanampiga iran strategically huku wakilinda uhai wa wananchi

Unadhani US hana nguvu ya kusambaratisha iran in one week?

Muda wenu unasogea, mtaangamia, mumeua na kubaka wayazidi na wakurdu kwa kutumia proxies zenu , nia yenu ni kusambaratisha wayahud na wakristo lakin kwa bahati mbaya inawatokea puani.
Eli...
Unaandika huku una hasira.
 
Back
Top Bottom