Mwanahistoria
Tunaomba utuleteee Historia ya Mzee Ali Hassan Mwinyi tafadhali na sio haya mambo ambayo yamekuwa diluted tunayopewa na magazeti
alikozaliwa career yake familia yake ilikuwaje akawa rais wa nchi 2 tofauti mafanikia yake na ilikuwaje au aliwezake kumkatalia Nyerere na sera za ujamaa na status yake kwa Watanzania na dunia kwa ujumla baada ya kustaafu bila kusahau watoto wake nk
Shukran