pistmshai
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 1,313
- 3,683
MUNGU ANAPOTAKA KUKUSAIDIA, ATAKULETEA MSAADA AMBAO HAUKUUTARAJIA KABISA
hili tukio lilitokea June 2005, huko ETHIOPIA lakini nimeshangazwa kuwa very popular hivi karibuni.
"Binti wa miaka 12,alietekwa na kupigwa na wanaume saba ambao walikuwa katika jaribio la kumlazimisha kuolewa na mmoja kati yao, alikutwa akilindwa na simba watatu ambao walimuokoa huyu binti kwa watimua mbio wale wanaume watekaji kwa muda wa masaa 12" Polisi walisema.
Polisi waliongeza kwa kusema,"Simba walisimama na kamlinda binti hadi tulipompata, na baada ya hapo walimuacha bila kumdhuru na kutokomea msituni, kama hao simba wasingekuja kumuokoa, ingekuwa hatari zaidi, kwa maana mara nyingi hawa mabinti wadogo wamekuwa wakibakwa na kupigwa vibaya kwa lengo la kulazimishwa kuolewa"
NI AJABU NA KWELI..!
Ethiopian girl reportedly guarded by lions