Jukwaa la Historia

On JF:

Alexander Graham Bell Using the First Telephone Mawasiliano ni jambo ambalo sasa mtu akilikosa anapoteza mambo mengi sana, Upande wa simu sasa tumefika mbali sana kimaendeleo kwani ndio...
4 Reactions
9 Replies
12K Views
Hivi mshawahi kujiuiza kwa nini sisi wadigo haturuhusiwi kuwa na chief wetu? Adam Mkwawa(13), Chifu mpya wa Wahehe, akirithi nafasi ya baba yake, Abdul Sapi Mkwawa aliyefariki 14/02/15
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Jamani ndugu zangu mimi nimekuwa na maswali mengi juu ya muumba wa mbingu mpaka sasa sijapata kujua kwa kina historia ya Mungu. Nimeamua kuuliza kwa sababu naona kama namkosea Mungu kwa kukaa...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Watu wote wenye mafanikio makubwa katika maisha wamekua ni watu wenye PLAN B mfano Donald Trump alipoulizwa atafanya nini akishindwa kupata urais akajibu atajikita katika biashara zake, Lowassa...
1 Reactions
0 Replies
969 Views
Jack Ma ni mwanzilishi na mwenyekiti wa mtandao mkubwa wa Alibaba. Ningependa kujua historia fupi ya ALIBABA na jinsi alivyofanikiwa kuteka soko la mtandaoni. Karibuni kwa michango zaidi juu ya...
0 Reactions
8 Replies
6K Views
Huo ni muhtasari wa kile ambacho Profesa Elias Jengo wa Chuo Kikuu Dar es Salaam (Fine & Performing Arts) ambaye pia ni mchoraji mahiri, atakizungumzia wakati wa maonyesho ya kazi za sanaa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
MWAKA 1848, Mmishenari wa Kijerumani Dk Johan Ludwig Krapf, alitembelea kijiji cha Magila kilichopo Muheza mkoani Tanga akiwa katika safari zake za Afrika Mashariki. Magila kuna mlima ulio katika...
3 Reactions
26 Replies
20K Views
Mohamed Said: VIDEO: MAISHA NA NYAKATI ZA ABDULLA KASSIM HANGA
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Hii nimekutana nayo mtandaoni, angalia madhara ya Green Guard. Katunews: VIDEO GREEN GUARD WA CCM WALIPOMSHAMBULIA MWANDISHI FREDRICK KATULANDA 2010
3 Reactions
8 Replies
3K Views
Leo U.S.A ni siku ya Martin Luther King Jr, kwa heshima yake hapa mimi namkumbuka kwa kutafakari quote yake moja maarufu nayo ni: “We must live together as brothers or perish together as fools.”...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
3 Reactions
0 Replies
3K Views
Dhifa ni chakula kinachoandaliwa kutoka tangulizi, mlo mkuu na kufuatia mlo baada ya chakula. Mara nyingi mlo huu huandalaiwa kwa heshima ya mgeni au ugeni na unafuatiwa na hotuba fupi. Katika...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
[5:21 PM, 1/9/2017] +255 687 500 699: Home Monday, 9 January 2017 Waislam wa Burundi katika harakati za kupigania uhuru wa Burundi Si kwamba Waswahili wa Burundi zama za ukoloni...
2 Reactions
4 Replies
3K Views
Ni kama vile fumbo la imani, kwa wale waamini wa kristu wataungana na mimi kuwa habari za Mungu na uumbwaji wa dunia zilikuja kuandikwa na Musa, na Musa aliziandika kama vile aliziishi ijapokuwa...
3 Reactions
48 Replies
13K Views
SHEIKH ABDALLAH RASHID SEMBE: SHUJAA WA KURA TATU NA UAMUZI WA BUSARA WA TABORA Rai Juni 17-23 1999 KIFO cha Abdallah Rashid Sembe kilitokea Hospitali ya Bombo, Tanga tarehe 22 Mei, 1999. Siku...
4 Reactions
37 Replies
9K Views
MUNGU ANAPOTAKA KUKUSAIDIA, ATAKULETEA MSAADA AMBAO HAUKUUTARAJIA KABISA hili tukio lilitokea June 2005, huko ETHIOPIA lakini nimeshangazwa kuwa very popular hivi karibuni. "Binti wa miaka...
2 Reactions
36 Replies
5K Views
Habari, Hii video imechukuliwa wakati Mwl Nyerere alipoenda Zambia na kukutana na rais wa wakati huo CHILUBA, ambaye alikuwa kamfunga Kaunda, Mwalimu Nyerere akaomba dakika 40 za mazungumzo na...
5 Reactions
33 Replies
11K Views
Mwanahistoria Tunaomba utuleteee Historia ya Mzee Ali Hassan Mwinyi tafadhali na sio haya mambo ambayo yamekuwa diluted tunayopewa na magazeti alikozaliwa career yake familia yake ilikuwaje...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Anaitwa Hadija Bint Kamba, Bint mrefu mweusi mwenye umbo lililosadifu unyamwezi, asili yake ni Tabora ndipo alipotokea Baba yake na Kigoma ndipo wazazi wa Mama yake walipotokea. Ni kama ilivyo...
9 Reactions
22 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…