Jukwaa la Historia

On JF:

Vita ya Korea ya karne ya 20 ilitokea kati ya 1950 hadi 1953. Ilianzishwa na Korea ya Kaskazini iliyovamia Korea ya Kusini. Korea ya Kaskazini ilisaidiwa na Jamhuri ya Watu wa China na Umoja wa...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Mwanzomwanzo mwa miaka ya sabini -1971-1973, mwalimu mmoja wa chuo kikuu dar-es-salaam mwenyeji wa zimbabwe kwa jina la Bwana Michongwe kwa kushirikiana na idara ya sanaa za maonesho...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
TAAZIA: KITWANA KONDO NIMJUAYE NA ALHAJ ABDALLAH TAMBAZA Mohamed Said June 03, 2017 0 Mayor wa Jiji la Dar es Salaam Kitwana Selemani Kondo ILIKUWA siku ya Jumanne, Mei 24, mwaka huu, baada...
11 Reactions
17 Replies
6K Views
Habari ndugu zangu wana jf.Kutokana na maendeleo ya binadamu Katika nyanja za sayansi na teknolojia kumekuwa na juhudi mbalimbali Katika kutafuta asli ya binadamu na hatima yake hapa...
1 Reactions
5 Replies
5K Views
Bila shaka kesho(12/1/2017) ndio ile siku ambayo serikali halali ya Zanzibar ilipinduliwa na kuingia mikononi mwa wanyang'anyi na hiyo shughuli ambayo inasadikiwa uligharimu maisha ya watu...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Ihis is the proof that Israel Belong to God, Isaiah 54:17 New King James Version (NKJV) 17 No weapon formed against you shall prosper, And every tongue which rises against you in judgment You...
1 Reactions
0 Replies
774 Views
Jibu please
0 Reactions
9 Replies
6K Views
Katika ile kesi inayomkabili sheikh ponda ambayo kwa sasa inaendelea kwa kutoa utetezi kwa upande wa washitakiwa,juzi alisimama mzee mmoja aitwae bilal waikela ktk kutoa ushahidi kwa upande wa...
1 Reactions
125 Replies
18K Views
Wamebarikiwa Ukarimu, upendo uchapakazi, utii, adabu , ukweli, msimamo na kujithamini. Karibu mbeya. Pia wanapatikana kwa wingi meru Arusha, Mang'ola karatu, Arusha chini, USA, West...
0 Reactions
0 Replies
866 Views
Jumatano Mei 24, 2017 ni siku ambayo itakumbukwa na Watanzania wengi na hasa Waislamu, kwa kuondokewa na mzee wetu, Alhaj Kitwana Selemani Kondo, maarufu KK au mzee wa mjini. Siku nne kabla ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Unaweza kudhani ni hadithi ya kutunga lakini hii kweli ilitokea! Vita ya Karansebes, ni miongoni mwa matukio yaliyoushangaza sana ulimwengu baada ya wanajeshi wa jeshi moja la Austria...
9 Reactions
11 Replies
3K Views
Balozi mzee Job Lusinde ni waziri pekee wa baraza la kwanza la mawaziri la Mwalimu Julius Nyerere mara baada ya kupata uhuru kwa sasa baada ya Sir George Kahama kufariki dunia. Wakati Jeshi...
7 Reactions
27 Replies
10K Views
USIA WA MAREHEMU KITWANA SELEMANI KONDO KWA WATANZANIA Mohamed Said May 24, 2017 0 Hotuba ya Mh. Kitwana Kondo (MB) aliyoitoa Bungeni Dodoma, 1999 Mohamed Said February 17, 2015 0 Annur...
4 Reactions
11 Replies
4K Views
Wanajukwaa za kwenu? Leo nimekuwa nikifikiria kuhusiana na historia yetu kama watanzania ambayo lazima ianze na mtu mmoja mmoja. Ukipitia biblia utaona katika kitabu cha Mathayo kuna historia ya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Uzi huu hauna lengo la kutetea maharamia toka nchi za magharibi, Ila natambua watu wana uelewa wa vita za kiuchumi hasa nchi za kiafrica zinapo taka kujitawala kiuchumi kwa kutumia nguvu zao na...
3 Reactions
32 Replies
5K Views
Ishara zote zinaonyesho miaka 30 ijayo kabila maarufu la kichaga litafutika kabisa mkoani Kilimanjaro. Sababu kuu ni kama zifuatazo: Wachaga wengi wanaoa na kuolewa na makabila tofauti,wengi...
10 Reactions
41 Replies
7K Views
Mohamed Said May 12, 2017 0 Paul Sozigwa na Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Leo asubuhi mapema kabisa rafiki yangu mmoja wa Kariakoo kanifikishia taarifa katika ‘’whatsapp,’’...
5 Reactions
3 Replies
4K Views
Haruna Taratibu Mubarak Ghulum Mtangazaji Radio Kheri Akiwa Katika Matayarisho ya Kipindi Maalum cha Miaka 53 ya Uhuru wa Tanganyika Kushoto Kwenda Kulia: Saleh Tambwe, Job...
4 Reactions
16 Replies
5K Views
kuna kile kitabu na movie ambayo mhusika wa story ni william shakespear kinaitwa merchant of venis na mwalim nyerere alikitafsiri akakiita mabeari kutoka venis nna full movie lakini siielewi...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Ukiachilia mbali kitabu chake cha THE PARTNERSHIP, Mzee Aboud Jumbe Mwinyi, aliyewahi kuwa Rais wa Zanzibar, Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamu Wa Kwanza wa Rais wa Tanzania kabla ya...
3 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom