Jukwaa la Historia

On JF:

Mambo vipi wapendwa Naomba kujua historia za hawa watu wa wawili, Patrice Lumumba pamoja na Thomas Sankara Rais wa Burkina Faso. Mimi ni yule yule mdau mpya Moi Mwakyeja toka green city Mbeya...
0 Reactions
9 Replies
8K Views
Nimeipata hii taarifa nikaona vema niibandike humu maana nimeitafuta sijaiona. Kama imo humu inajirudia, mods waiunganishe. Imejaa historia ndefu na kina kuhusu madini. Ameandika barafu wa Jf toka...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Tunaposema na kuvaa ujivuni juu ya kuzawadiwa imani Katoliki tunafanya hivyo baada ya tafakari ya kina sana.Baadhi yetu tunatembea kifua mbele na ujivuni wenye upole na unyenyekevu kwa kutambua...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
TANGAZO TANGAZO TANGAZO TANGAZO Chama cha demokrasia na Maendeleo Chama cha demokrasia na Maendeleo(CHADEMA)wilaya ya Dodoma mjini tunawatangazia...
1 Reactions
2 Replies
966 Views
IN MEMORIAM OF ALLY SYKES AND THE DAY TANU WAS FOUNDED 7 JULAI 1954 (SABA SABA) Mohamed Said July 07, 2017 0 THURSDAY JUNE 20 2013 Ally Sykes wore many hats with ease — he was a soldier in...
2 Reactions
22 Replies
9K Views
Walionikosha sana na nilipenda historia zao ni. 1. Carlos the Jackal 2. Osama Bin Laden 3. Robert Mugabe 4. Muhamar Gadaf 5. Adolf Hitler 6. Fidel Castro 7. George Bush (mtoto) Kama unawajua...
0 Reactions
68 Replies
39K Views
Hii ni klabu hapa Dar es salaam ambayo kila Rais wa Tanzania alikuwa member (sina hakika kama huyu wa sasa, Magufuli naye ni member) Wazee wetu na walikuwa members toka miaka hiyo sisi tunakua ya...
5 Reactions
97 Replies
19K Views
Huyu ndiye Mfalme Badu Bonsu II wa Ghana aliyepambana na wakaoloni wa Kidachi na kupinga vikali biashara ya Utumwa hadi kufikia hatua ya kuwaua maafisa kadhaa wa Kikoloni hatua iliyopelekea...
1 Reactions
5 Replies
7K Views
BAYUME MOHAMED HUSSEIN, MTANZANIA MASHUHURI ALIYEUAWA NA HITLER. ALIVYOTAJIKA. Je, ni jina jipya?, Geni au umewahi kulisikia sehemu?. Hebu leo jipe muda kumuangalia Mtanzania huyu wa tangu na...
6 Reactions
13 Replies
18K Views
WALIFIKAJE TAREHE 7 MWEZI WA SABA 1954 NA KUASISI TANU? Mohamed Said July 03, 2017 0 Kuna mtaa Dar es Salaam sisi tulimezaliwa tumeukuta ukiitwa Stanley Street. Baada ya kupatikana uhuru mtaa...
2 Reactions
11 Replies
6K Views
JESHI letu la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limetimiza miaka zaidi ya 50 sasa huku likiwa na rekodi ya aina yake kama jeshi shupavu lililoongoza mapambano dhidi ya udhalimu na uonevu uliokuwa...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
HUU NDIO MWISHO WA JONAS MALHERO SAVIMBI MAARUFU KAMA "SAVIMBI a' FANTOCHE". Copyright reserved C&P NA Comred Mbwana Allyamtu Jonas Malheiro Savimbi, Moja ya Vibaraka wa karne hapa...
1 Reactions
9 Replies
4K Views
Leo ukienda Visiwa vya Zanzibar utashuhudia maghorofa kuanzia Unguja mpaka Pemba,mjini mpaka mashambani,maghorofa hayo yote naambiwa yalijengwa na Hayati Mzee Abeid Karume!. Hayati Mzee Karume...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Je ushawahi kuota ndoto na ikatokea ukweli Tuambie ilikueje?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa kuangalia picha ingia: Mohamed Said: KISA CHA ALI MWINYI TAMBWE NA KITWANA SELEMANI KONDO 1950s
5 Reactions
36 Replies
5K Views
Nina rafiki yangu mzungu ktk project fulani huko nchi jirani na Tz lkn anadai yeye ni jamii ya Wanguu na eti ni kabila lipatikanalo huko kwetu Tz. Ni mkoa upi Wanguu hupatikana huko kwetu?
0 Reactions
26 Replies
13K Views
Wadau Mimi naombeni kujua historia ya elimu ya darasani, wapi ilianzia na Kwa lengo gani?
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Tulikotoka na tunapoeleka kunajulikana kabisaaaaaa
0 Reactions
15 Replies
6K Views
Zimbabwe na Zanzibar kihistoria sote tumepata uhuru kutoka kwa wakoloni miaka tofauti,sisi tulipata mezani kwanza tarehe 10 december 1963,halafu tukatumia mapanga kufanya mapinduzi 1964 january...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Back
Top Bottom