Msaada kuhusu kitabu cha Merchant of Venis

anonymousafrica

JF-Expert Member
Aug 24, 2016
611
639
kuna kile kitabu na movie ambayo mhusika wa story ni william shakespear kinaitwa merchant of venis na mwalim nyerere alikitafsiri akakiita mabeari kutoka venis
nna full movie lakini siielewi jamani
naomba msaada wanahistoria hivi inahusu nini haswa hii
 
The Merchant of Venice is a 16th-century play by William Shakespeare in which a merchant in Venice must default on a large loan provided by an abused Jewish moneylender. It is believed to have been written between 1596 and 1599. Though classified as a
comedy in the First Folio and sharing certain aspects with Shakespeare's other romantic comedies, the play is perhaps most remembered for its dramatic scenes, and is best known for Shylock and the famous "Hath not a Jew eyes?" speech. Also notable is
Portia's speech about " the quality of mercy". Critic Harold Bloom listed it among Shakespeare's great comedies.
 
Myahudi aliambiwa akate mnofu kotoka kwenye mwili wa mdaiwa wake aliambiwa akate kilo kadhaa lakini sharti akate kiasi kinachotakiwa kama alivyo kubaliwa yaani kilo ya mnofu atakayokata kwenye mwili wa wa mdaiwa isizidi wala kupungua.myahudi akabaki njia panda
 
Pragiarism is offence and is punishable by law are you aware of that mr mjukuu wa chifu
 
kuna kile kitabu na movie ambayo mhusika wa story ni william shakespear kinaitwa merchant of venis na mwalim nyerere alikitafsiri akakiita mabeari kutoka venis
nna full movie lakini siielewi jamani
naomba msaada wanahistoria hivi inahusu nini haswa hii
Inahusu wakati ule ubepari wa kibiashara unaibuka,kulikuwa na miji ilokuwa na hazina ya wakopesha mitaji kama Venice au venetia iko Italy,hapo mtu mmoja alikopa kwa mkataba kwani biashara iliibuka na mikataba.Aliyemuwekea dhamana aliungia makubaliano akishindwa kulipa atakatwa nyama latili mbili,hyo ilikinzana na sheria za venice na ilibidi akate hyo nyama bila kumwaga damu.
 
Myahudi aliambiwa akate mnofu kotoka kwenye mwili wa mdaiwa wake aliambiwa akate kilo kadhaa lakini sharti akate kiasi kinachotakiwa kama alivyo kubaliwa yaani kilo ya mnofu atakayokata kwenye mwili wa wa mdaiwa isizidi wala kupungua.myahudi akabaki njia panda
hahahaaaa dah huu uonevu

Sent from my itel it1507 using JamiiForums mobile app
 
kuna kile kitabu na movie ambayo mhusika wa story ni william shakespear kinaitwa merchant of venis na mwalim nyerere alikitafsiri akakiita mabeari kutoka venis
nna full movie lakini siielewi jamani
naomba msaada wanahistoria hivi inahusu nini haswa hii
Mkuu naomba hiyo movie
 
Back
Top Bottom