SHIEKA
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 8,240
- 4,263
Mwanzomwanzo mwa miaka ya sabini -1971-1973, mwalimu mmoja wa chuo kikuu dar-es-salaam mwenyeji wa zimbabwe kwa jina la Bwana Michongwe kwa kushirikiana na idara ya sanaa za maonesho iliyoongozwa na mzee Bob Leshoai, waliandaa mchezo wa kuigiza unaotumia muziki. Mchezo huo - kama nakumbuka sawasawa - uliitwa 'Harusi ya Ndewario na.....' (Mzee Mohamed Said naomba unisaidie hapa).Naukumbuka sana mchezo huu ilivyochezwa kwa umahiri, na kwa kumbukumbu zangu mmoja wa wahusika wa mchezo huu ninamfananisha sana na Mzee Philemon Ndesamburo.Kipindi hicho nilikuwa namtembelea sana mjombangu Prof Masenge mwalimu wa hisabati udsm.
Kwa wale mnaokumbuka mchezo huu wa Bwana Michongwe na Bob Leshoai tafadhali ongezeeni kina zaidi.
Mohamed Said.
Kwa wale mnaokumbuka mchezo huu wa Bwana Michongwe na Bob Leshoai tafadhali ongezeeni kina zaidi.
Mohamed Said.