WASAFWA

justin mwanshinga

Senior Member
May 22, 2014
179
621
Wamebarikiwa
Ukarimu, upendo uchapakazi, utii, adabu , ukweli, msimamo na kujithamini.

Karibu mbeya.

Pia wanapatikana kwa wingi meru Arusha, Mang'ola karatu, Arusha chini, USA, West kilimanjaro, Handeni Tanga, mufindi Iringa, njombe, sumbawanga, songwe, chunya na makete.
Wapo Pia morogoro.

Salam kuu MWAGONA.

CC,
MWANSHINGA JR
 
Back
Top Bottom