Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,185
- 18,513
Uzi huu hauna lengo la kutetea maharamia toka nchi za magharibi, Ila natambua watu wana uelewa wa vita za kiuchumi hasa nchi za kiafrica zinapo taka kujitawala kiuchumi kwa kutumia nguvu zao na akili zao. Bara la Africa bado linatawaliwa kiunyonyaji sana na nchi za magharibi na anapotokea kiongozi mwenye akili za kugusa masalhi yao nadhani hawa jamaa huchukia sana.
Baadhi ya viongozi waliokua na maono ya kuziondoa nchi zao kutoka mikono ya wazungu ni hawa.
1. Patrick Lumumba (Aliuawa - wahusika CIA
2. Sankara - aliuawa ( Wahusika France)
3....
4....
wengine mtaongezea.
Nchi zote zilizo tawaliwa na wafaransandio zinaongoza kwa kuwa ondoa viongozi kwa nguvu ya jeshi na hili linatafsiriwa kama kuwakomoa viongozi ambao ni nationalist na wanataka kuziondoa nchi zao kwenye mikono ya wakoloni..
Je Tanzania tutapitaje katika hili LA dhahabu?
Je vyombo vya ulinzi vimejipanga vipi kukabiliana na mambo kama haya?
Katika hili Watanzania wote tushikamane , msaliti sharti adhibitiwe mapema.
Tuungane na Kamanda wetu Magufuli.