Habari zenu ndugu zangu..,Napenda kufahamu kama waliokuwa selected juzi forth round UDOM ..,Kama wameshapata admission form tujulishane ndugu zangu..!! Au mwenye kujua huwa zinatoka mda gani baada...
Habari zenu ndugu wana jakukwaa nimatumaini yangu muwazima na nitoe pole kwa wale walio patwa na matatizo mbambali na Mungu awafanyie wepesi ipatikane nafuu kwao.
Niende kwenye mada bila...
Wakuu msimu wa graduations (mahafali) ya vyuo mbalimbali umekaribia. Je, lile tamko la Waziri wa Elimu, Mh. Chako la watu wa certificates na diploma wasivae majoho bado lipo palepale mwaka huu...
UMOJA WA WANAFUNZI KARISMATIKI KATOLIKI VYUO VIKUU TANZANIA
Umeandaa mkutano MKUBWAA
unaojurikana kama
CAMPING EXPERIENCE SEASON II.
KATIKA VIWANJA BETHEL NDANI YA MFULU, KIGAMBONI...
*BREAKING NEWS; HAYA HAPA MATOKEO YA KIDATO CHA TANO NA SHULE WALIZOPANGIWA 2017[emoji117]Tarehe ya Kuripoti shule kuanzia November 21*
FORM FIVE THIRD ROUND SELECTION RESULTS 2017 | Wanafunzi...
Moja nadhani imefika muda tuamue kua ipi itakuwa lugha ya kufundishia kuanzia awali mpaka vyuo vikuuu kama ni english au kiswahili.
Juzi kati hapa mjin mbeya kulikuwa na mchucho katika shule ya...
Katika msimu wa zao la korosho mwaka 2017/2018 wakulima wa Wilaya Tunduru watachangia shilingi 50 kwa kila kilo moja ya korosho na fedha zitakazopatikana zitaelekezwa katika kuboresha miundombinu...
Wakuu salaam!
Bila kupoteza mda nimeona kwenye taarifa ya habari kuwa serikali Imezindua shahada ya kwanza ya sayansi ya kijeshi!
Je ni sayansi gani hii? Naomba kwa wanaojua anijuze na mimi...
Kama kichwa cha mada kinavyo jieleza ninaomba msaada wa mawazo kwa mwenye ufahamu nilichaguliwa TIA kwenye bachelor of accounting and finance nikaenda kufanya usajili nikapewa na namba ya usajiri...
Kila mmoja wetu kwa namna moja ama nyingine kuna changamoto ambazo zinamkabili kuweza kupata mafanikio zaidi. Na hizo changamoto ndizo ambazo tunaziita kifungo cha umaskini, kwani kifungo hicho...
Wakuu,
Pamoja na kuuona ugumu katika kutafuta nafasi ya Tutorial Assistant upande wa Kiswahili/Kiingereza,
Bado nina nia na malengo ya dhati ya kuwa mwanataaluma mbobezi wa ama Kiswahili au...
Funguo za mlango wa maisha yako ni MUNGU na wewe mwenyewe ...Usikubali kuomba msaada haraka kwa watu kabla huja jaribu na kushindwa ...kusaidiwa kila jambo bila wewe kuonyesha nia ya kufanya...
Hongereni kwa kuchaguliwa "The White University" Nawashauri hivi:-
1. Yapo makampuni ya mabasi yatawataka mlipe pesa benki ili yawasafirishe hadi UDOM- Kataa kwani watakupiga hela halafu safari...
Habari za weekend ndugu.
Nahitaji kurisit mtihani wa kidato cha sita mwaka 2019 na nilishamaliza mwaka 2016 with division 3 point 15, ushauri wenu ni kujua.
Je itanisaidia mimi kupata mkopo...
SCIENCE AND MATHEMATICS
Hili ni swali nililojiuliza mara nyingi sana, nimeitathimini kazi ya uwalimu hasa sule za sekondary hapa nchini na mazingira ya ufundishaji kwa ujumla wake. Hayo tuyaache...