Msaada kuhusu Post graduate diploma in education Open University

pitbull

JF-Expert Member
Sep 22, 2011
596
183
Kwa wenye uzoefu nilikua naomba kujua gharama za kusoma postgraduate diploma ya education Open University na ningependa kujua inachukua muda gani.??
 
Online Learning pale UDSM ada ni sh. 2,600,000/= na duration ni mwaka mmoja. Tangazo lao nitakuwekea hapa baadae
 
mkuu open university inategemea na mode au njiola utakayotumia kusoma ambapo kuna distance mode na evening mode, distance ni milion mbili na evening ni milioni 3. tofauti ya mode ni kwamba moja unajisomea mwenyewe we unaenda kufanya mitihani tu wakati evening mnafundishwa darasani na malecturer
 
shukrani mkuu
 
mm naomba nijue kuhusu masomo ya kufundishia, je kila somo lipo? kwa mfano Commerce, accountancy na ict
 
Hayo masomo ya kufundishia kama commerce, accountancy, nk yanatolewa.
Kuhusu application ukifungua website yao; www.out.ac.tz ukifungua sehemu ya application utapata Maelekezo yote. Kwa bachelor programmes hizo application zake ni online ila sina hakika kwa postgraduate programmes.
Pia Unaweza kutembelea ofisi zao zilizopo katika mikoa yote na kwa dsm ofisi zao zipo sabasaba-maonyesho (temeke), taasisi ya elimu ya watu wazima (ilala) na biafra (kinondoni).
 
mkuu open university inategemea na mode au njiola utakayotumia kusoma ambapo kuna distance mode na evening mode, distance ni milion mbili na evening ni milioni 3. tofauti ya mode ni kwamba moja unajisomea mwenyewe we unaenda kufanya mitihani tu wakati evening mnafundishwa darasani na malecturer
mkuu evening classes ipo pia kwa shahada ya kwanza au ni kwa post graduate tu
 
ni kwa post graduate, masters na phd pekee, degree, diploma na certificate (undergraduate) hamna evening classes
 
mm naomba nijue kuhusu masomo ya kufundishia, je kila somo lipo? kwa mfano Commerce, accountancy na ict
mkuu masomo unachagua masomo mawili tu ya kufundishia na hayo masomo lazima uwe na background nayo kwenye degree yako mfano una degree ya accounting au zinazofanana na hizo kama bcom, baf etc utachukua masomo mawili kati ya haya matatU commerce, bookeeping (accounting) au economics, so degree yako ndio utachukua hayo masomo kulingana na degree yako, ingawa unawezA kuchagua masomo mengine ingawa changamoto yake utamaliza kwa miaka miwili badala ya mwaka mmoja..
 
Kwa wenye uzoefu nilikua naomba kujua gharama za kusoma postgraduate diploma ya education Open University na ningependa kujua inachukua muda gani.??
Njoo open. Ni cheap na 9 months. Hands on
 
mkuu evening classes ipo pia kwa shahada ya kwanza au ni kwa post graduate tu
mkuu je wale wanaochukua sheria nimeona kitu inaitwa LL.B EXECUTIVE.....na katika maelezo yake inaonesha hii ni partially teaching programme.....ipoje hii mkuu
 
nimesoma kwenye pospectus nimeona kwenye shahada ya sheria kuna kitu kinaitwa LL.B EXECUTIVE ipoje hii mkuu
kuhusu LL.B sina uhakika ila kwa masters kuna executive mide ambayo wanakuja kusoma kila wikiendi na siku za sikukuu ila ni siku nzima asubuhi hadi jioni kisha ndani ya semista 2 au 3 unakuwa umemaliza na kugraduate, changamoto ya hii kozi ni gharama zaidi kuliko evening class na inatumiwa na watu wenye vyeo au uwezo mkubwa wa kifedha kama senior bosses na senior officers kusoma kwa hiyo njia ya executive mode
 
poa poa mkuu nimekusoma
 
mkuu masomo unachagua masomo mawili tu ya kufundishia na hayo masomo lazima uwe na background nayo kwenye degree yako mfano una degree ya accounting au zinazofanana na hizo kama bcom, baf etc utachukua masomo mawili kati ya haya matatU commerce, bookeeping (accounting) au economics, so degree yako ndio utachukua hayo masomo kulingana na degree yako, ingawa unawezA kuchagua masomo mengine ingawa changamoto yake utamaliza kwa miaka miwili badala ya mwaka mmoja..
Mfano mimi nimesoma Bachelor in economics and statistics na nataka kufundisha mathematics na ICT vp inawezekana
 
Back
Top Bottom