Camping experience ndani ya Dar es salaam na kwa mikoa karibu

Allen Mapunda

Member
Mar 20, 2017
23
23
35508c58881b1d32720f3c9454926c80.jpg


UMOJA WA WANAFUNZI KARISMATIKI KATOLIKI VYUO VIKUU TANZANIA

Umeandaa mkutano MKUBWAA
unaojurikana kama
CAMPING EXPERIENCE SEASON II.

KATIKA VIWANJA BETHEL NDANI YA MFULU, KIGAMBONI.
ITAKAYOANZA KL TAREHE 7 DEC HAD 11 DEC MWAKA HUU.

GHARAMA YA MALAZI NI SH 15000 KWA MUDA WA SIKU ZOTE USAFIRI. NI BURE KABISA

MAMBO YAPATIKANAYO KULE NI
MICHEZO
MAFUNDISHO MBALIMBALI KAMA MAHUSIANO NA THE POWER OF IDENTITY NK
MOVIE
MSOSI MARA 3 PER DAY

ZAIDI UNAPATA EXPOSURES KWA WATU MBALI MBALI.

HIII NI KWA WATU WOOTE, DINI NA MADHEHEBU MBALIMBALI.

JINSI YA KUJIANDIKISHA KUNANJIA MBILI

YA KWANZA NITAFUTE KWA NAMBA HIZI

0757739753
0717534043.

Zingatia: kama ungependa kushiriki nasi usitume pesa popote mpaka utakapoelekezwa njia sahihi. Ogopa matapeli.

NJIA YA PILI

JINSI YA KUJISAJILI ONLINE *CAMPING EPERIENCE SEASON II*

ANDIKA

*Code ID* acha nafasi *JINA LAKO KAMILI* tuma kwenda no 0763700076 Kwa mfano mimi ni mwanafunzi wa

NATIONAL INSTITUTE OF TRANSPORT

NENDA UWANJA WA MESEJI ANDIKA
NIT Jackson Mssawa

kisha nitatuma kwenda kwenye namba *0763700076*
*Jisajili sasa*
Ukiwa na mesege ya bure inatosha kujisajili.
*CAMPING*

USIOGOPE HATA KAMA HUJAPATA PESA JISAJILI MUNGU AONE TAMANIO LAKO AKUPE MPENYO WA PESA
 
Back
Top Bottom