UDOM round ya nne kuna aliyepata admission form?

UDOM round ya nne kuna aliyepata admission form?

Lakikunene

Senior Member
Joined
Jul 18, 2017
Posts
129
Reaction score
145
Habari zenu ndugu zangu..,Napenda kufahamu kama waliokuwa selected juzi forth round UDOM ..,Kama wameshapata admission form tujulishane ndugu zangu..!! Au mwenye kujua huwa zinatoka mda gani baada ya kuchaguliwa tujulishane
 
angalia kwenye alis yako ingiza namba yako ya form four alafu surname yako iwe ya heruf kubwa mambo tayar
 
Back
Top Bottom