kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,336
- 17,583
Wakuu msimu wa graduations (mahafali) ya vyuo mbalimbali umekaribia. Je, lile tamko la Waziri wa Elimu, Mh. Chako la watu wa certificates na diploma wasivae majoho bado lipo palepale mwaka huu?
Nimeona vyuo fulani fulani vya certificate na Diploma wamewavalisha wahitimu wao majoho wanafunzi wao siku za sherehe zao za kumaliza, au limeondolewa?
Nimeona vyuo fulani fulani vya certificate na Diploma wamewavalisha wahitimu wao majoho wanafunzi wao siku za sherehe zao za kumaliza, au limeondolewa?