Third Selection Kwa Wanafunzi Wa Advance Waliyomaliza Form Four Mwaka Jana

Muh!!! yan wengine toka july wapo shule afu hawa ndio waende leo??? ngoja niwe na akiba ya maneno kwa maana ili akatoboe mtihani wa kidato cha sta inatakiwa kujitoa kwa hali isiyokua ya kawaida.
 
Yametoka tarehe 20, muda wa masomo utaanza tarehe 21 yaani siku 1 baada ya Umma kutangaziwa.

Deadline ni tarehe 4 December..
Hii Serikali hii daaah....
 
Back
Top Bottom