Ni chuo gani kinatoa elimu ya ufundi Umeme (EL) ngazi ya diploma?

Hondelo

Member
Nov 13, 2017
16
45
Naombeni kuuliza kama kuna anaejua chuo kinachotoa Kozi ya ELECTRICAL INSTALLATION ngaz ya diploma kwa mtu alietoka VETA akiwa na VC3.
 
Hazchem plate

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
9,402
2,000
Hakuna electrical installation diploma. Ila kuna electrical engineering.
Ila mm sikushauri kwenda DIT. Elimu ya pale ni ngumu sana hasa kama mwanafunzi hujiwezi kimasoma hasa hesabu.
Utapoteza ada bureee
 
Hondelo

Member
Nov 13, 2017
16
45
Sante kwa ushauri, lakn kwa maelzo yko ni waz unafaham kias na unaweza kua msaada katka hli, nkwamba nlifkir nikasome ualim wa ufund MVTTC lakn kna watu wakanambia ajira zake ni ngum ni bora ningeendelea na diploma, sorry unaweza kua na wazo lolote ni jinsi gan naweza endeleza taaluma yangu kwa namna flan?
 
Hazchem plate

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
9,402
2,000
Sante kwa ushauri, lakn kwa maelzo yko ni waz unafaham kias na unaweza kua msaada katka hli, nkwamba nlifkir nikasome ualim wa ufund MVTTC lakn kna watu wakanambia ajira zake ni ngum ni bora ningeendelea na diploma, sorry unaweza kua na wazo lolote ni jinsi gan naweza endeleza taaluma yangu kwa namna flan?
Kweli kusomea ualimu hapo itakuwa ngumu kidogo. Soko la ajira litakusimbua. Lakini pia nina moyo mgumu kujushauri usome engineering. Nna track record ya jamaa zangu wengi ambao wamesoma Veta na walipokuja kujiunga na DIT, Must, Arusha Tech shule iliwashinda

Thou sikukatishi tamaa ila nakupa muda wa kujiasses kama una uwezo basi piga Certificate ya EL. Eng.
 
Hondelo

Member
Nov 13, 2017
16
45
Ok, kingne labda km unafaham kwa MUST coz ndo nko karb nacho, semester zao znaanzia mda gan, na kutokan na uzoef wko kwa hao jamaa zko walopta hko, unawza kujua gharama zao kiujumla Japo kwa makdirio?

Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
 
buzitata

JF-Expert Member
Apr 11, 2017
1,793
2,000
Mh kiongozi haya mambo ya engineering sio yakujipa moyo kwamba unaweza we jipime kwanza kabla yakujipa moyo

Saiv watu tunahemea mipira na vyuma vimekaza yani piston imeganda juu haipandi chini haishuki
 
Mr Miller

JF-Expert Member
Jan 24, 2017
11,183
2,000
Mh kiongozi haya mambo ya engineering sio yakujipa moyo kwamba unaweza we jipime kwanza kabla yakujipa moyo

Saiv watu tunahemea mipira na vyuma vimekaza yani piston imeganda juu haipandi chini haishuki
hahaha pole aisee
 
Hazchem plate

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
9,402
2,000
Ok, kingne labda km unafaham kwa MUST coz ndo nko karb nacho, semester zao znaanzia mda gan, na kutokan na uzoef wko kwa hao jamaa zko walopta hko, unawza kujua gharama zao kiujumla Japo kwa makdirio?

Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
Ada haizid mil. 1. Ila uwe umefauru maths form 4. Nabukienda kule am sure utakuwa bored tuu. Maana utajifunza communications skills, eng. Science. Electrical draghting. Hata iyo installation unayo ipenda huto iona tena. Utakuwa unasolve tu micalculation ya umeme tuu. **** balaa mzeee
 
eddy king

JF-Expert Member
Apr 1, 2016
485
1,000
Uwe umefaulu hesabu kama mdau alivyosema hapo juu kwa must, Ada ni Around 1,250,000 full na accomodation kasoro meals juu yako kwa MUST na kama unatokea veta kweli ujipange mana huku kwa electrical utakuta wana module zaidi ya 12 pa semister na utakuta module 8 au 9 ni hesabu kwaiyo yataka moyo.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom