Naomba ufafanuzi juu ya hii shahada mpya ya sayansi ya kijeshi.

Yapaswe

JF-Expert Member
Oct 19, 2016
322
240
Wakuu salaam!
Bila kupoteza mda nimeona kwenye taarifa ya habari kuwa serikali Imezindua shahada ya kwanza ya sayansi ya kijeshi!
Je ni sayansi gani hii? Naomba kwa wanaojua anijuze na mimi nitoke huku gizani!

Chanzo ITV
 
Nenda jeshin ukayaone ukoo ...Tanzania military academy(TMA)kama hujapita six huwezi pitia hii issue monduli
 
Ngoja nikujuxe kwa kidogo nachojua. Ni course ya kawaida tu ila kwetu ni ngeni. Ni kama ilivyo Political science ila hii kidogo ina vitu vingi vya kiutendaji. Nafasi zake ni chache na ngumu kupata. Niliwahi ku-apply ktk University of Namibia ila nikakosa Funds.
 
Sasa umemjuza nini hapo?

Naona kama ulitaka tujue kwamba uliwahi kuiomba Namibia na ukaiokosa basi.
 
Ili nipate nini then? Kwani kutuma maombi Namibia ni sifa? style up we jamaa. Wewe ni typical example of a hater ambao kazi yenu ni kutafuta makosa ili upate cha ku-comment. Jamaa aliuliza na nikasema namjuza kwa ninachokielewa. Ikiwa wewe unajua zaidi ungemweleza kuliko kupoteza muda kujifanya mkaguzi au msahihishaji.
Kwa udogo wa mind yako umeshindwa kugundua nilichomjuza kwamba hiyo kozi si ngeni mahali pengine na kama imeanzishwa basi anaweza kutafuta mahali inapotolewa isipokuwa ikiwa ni TMA.
 
Ngoja nikujuxe kwa kidogo nachojua. Ni course ya kawaida tu ila kwetu ni ngeni. Ni kama ilivyo Political science ila hii kidogo ina vitu vingi vya kiutendaji. Nafasi zake ni chache na ngumu kupata. Niliwahi ku-apply ktk University of Namibia ila nikakosa Funds.
University of Namibia????mkuu izii nafasi sio za kuaply kizembe ivo .. lazima uwe mwanajesh private.. au upite jkt kwa mujibu ndo wanasort kwa kuangalia combination na ufaulu wanapendaga PCM na PCB.. Mfano mwaka huu tuliopita mujibu izo nafasi wamezitoa ..makotopola,mgambo na msange...wametoa wanaotaka kusoma TMA officer cadet . ..
 
Hizi ishu huwezi pata ukiwa mtaani ...lazima uwe kambini mkuu...kuanzia form six kupandaa juu
 
Inaweza kuwa kweli ila kumbuka hiyo kozi sio kama kwenda depo na kujifunza kupigana kijeshi, ndio maana inatolewa na vyuo ambavyo vingine ni vya kiraia, hiyo inahusu theory zaidi na akili za kijeshi. Watu wanasoma hizo kozi ndio wanakuwa viongozi wa juu wanaoplan shughuli za jeshi na sio wale wapiganaji. So kwa msingi huo sio lazima uwe kambini ndio usome kwa kuwa wengine wanaosoma hiyo kozi wanafanya kazi nje ya jeshi mathalani UN na kwa kiasi kidogo maeneo kama wizara zinazohusu ulinzi. Hii ni kama unaposoma political science kwamba sio lazima uwe mwanasiasa bali utafanya political related issues.

Mimi sio mwanajeshi na ni maoni yangu tu kwa uelewa wangu, so naweza kuwa wrong
 
Sikia mkuu iyo inaitwa tanzania military academy (TMA)..ambapo wanaingia makambini wanafanya usaili kwa wanajesh hasa ma private ambao wana degree au form six na kuendelea ...apo kama ulienda jeshin una degree au masters ndo nafasi yako sasa ..apo munaenda kupiga msuli officer cadet..na sio kukimbia kimbia kama jkt kule ...ndo maana wanachukuaga fresher's form six wa mujibu kwan makambin unakuta weng ni lasaba na form four vigezo hawana...ukipiga ayo masomo ndo ma luten husu,(unapewa nyota mbili kwa pamoja) badae kuwa hata captain(nyota tatu) humo humo wanakata bogi wanaosomea pilot,mizinga n.k kule ni pindi mwanzo mwisho na kuna kufeli kama kawaida
 
Sijasema TMA. Mi nimeizungumzia kozi yenyewe na chuo nilichoongelea ni University of Namibia. Hiyo kozi wanaitoa kwa bachelor na masters. Nimemshauri jamaa ikiwa yuko interested na ana funds za kutosha ajaribu kule. Hakuna limits kwa asiye mwanajeshi
 
University of Namibia????mkuu izii nafasi sio za kuaply kizembe ivo .. lazima uwe mwanajesh private.. au upite jkt kwa mujibu ndo wanasort kwa kuangalia combination na ufaulu wanapendaga PCM na PCB.. Mfano mwaka huu tuliopita mujibu izo nafasi wamezitoa ..makotopola,mgambo na msange...wametoa wanaotaka kusoma TMA officer cadet . ..
Siyo lazima uwe mwanajesh nna rafiki yangu aliisoma Kenya akitokea form six
 
Sikia mkuu iyo inaitwa tanzania military academy (TMA)..ambapo wanaingia makambini wanafanya usaili kwa wanajesh hasa ma private ambao wana degree au form six na kuendelea ...apo kama ulienda jeshin una degree au masters ndo nafasi yako sasa ..apo munaenda kupiga msuli officer cadet..na sio kukimbia kimbia kama jkt kule ...ndo maana wanachukuaga fresher's form six wa mujibu kwan makambin unakuta weng ni lasaba na form four vigezo hawana...ukipiga ayo masomo ndo ma luten husu,(unapewa nyota mbili kwa pamoja) badae kuwa hata captain(nyota tatu) humo humo wanakata bogi wanaosomea pilot,mizinga n.k kule ni pindi mwanzo mwisho na kuna kufeli kama kawaida
hivi kile chuo kilichopo pale DSM cha kijeshi kina itwaje au ndio hiki TMA? na ina kuwaje wanasoma na muda mwingine wakufunzi wanatoka nchi mbalimbali na wenye vyeo pia wanasoma hapo... ni vyeo vikubwa tu vya kijeshi... au kuna short course pale...
 
Siyo lazima uwe mwanajesh nna rafiki yangu aliisoma Kenya akitokea form six
mfahamishe jamaa. Kinachomsumbua huyo jamaa ni kitu Walatin wanaita "Superbus"
Tabia ya mtu kujiona wa-muhimu zaidi kuliko wengine kwa kile alichonacho ambacho wengine hawana pasipo kujua kuwa kila mtu ni wa muhimu kwa chochote kile anachofanya.
 
Back
Top Bottom