Enyiii watumishi wa wizara ya elimu, hususan Waziri, Angalieni vitu vya msingi kwanza katika sekta ya elimu, VITABU, VITABU, VITABU mh. huku shuleni walimu tunapata shida, hatuna vitabu, wanafunzi...
Hi every body!
Naomba ufafanuzi hapa, ukitaka kwenda kusoma Kenya kwa level ya advance secondary ni sharti uwe na level ipi ya elimu ya hapa Tanzania? na ukisoma advance ya Kenya unaweza kujiunga...
Serikali kupitia Mpango wa Maendeleo ya Elimu Sekonari (MMES) inatekeleza miradi mbalimbali ya uboreshaji wa miundombinu ya shule za sekondari ikiwemo ujenzi wa hosteli za wanafunzi wa kike ambao...
Habari wana jukwaa?
Tafadhali, kama uzi unavyojieleza, naomba msaada mwenye syllabus ya kozi zifuatazo zinazotolewa na vyuo vya VETA hapa nchini.
1. English language
2. ICT
3. Enterpreneurship
4...
Hi every body!
naomba ufafanuzi hapa,ukitaka kwenda kusoma marekani kwa level ya advance secondary ni shart uwe na level ipi ya elimu ya hapa tanzania? na ukisoma advance ya marejani unaweza...
THE University of Dodoma (UDOM) has registered a record in the country with some 12,000 students joining the institution in this year’s academic intake in comparison to 4,500 students in the...
Habari wapendwa. Napenda nifahamishwe update zinazohusu scholarship zinazotoolewa na serikali ya china (Ministry of Finance and Commerce MOFCOM) kupitia UTUMISHI..Tunaombeni update wapi zimefikia
Kila nyakati katika historia inapita, Ina uthamani wake na ina utofauti wake. Nyakati moja inaweza ikawa ndio mwanzo katika mabadiliko kwa nyakati nyingine ya kibinadamu, kiutawala, kiuchumi...
Habarini za saizi wadau wote wa JF nilikuwa napenda wenye uelewa wanielekeze je unaweza ukachukua uhamisho veta Mara tu ya kuanza masomo namaanisha nilifanya mtihani wa usaili mwaka na matokeo...
Kwa wale ambao tayari mmehitimu katia shahada ya Bsc in ICT Mediated content development tunaomba mtupe fununu ya fursa za ajira kwa wahitimu katika fani hii maana sisi huku tunakomaa nayo...
Habari wakuu...
Nataka niapply hizi course kwa ngazi ya diploma ila nipo katikati kati ya hizi course mbili kwa upande wa lab technician nampango nikimaliza nijiunge degree hapo hapo ila nina...
Nakumbuka mara ya kwanza baada ya kumaliza form six niliilaza kutumia jami forums.
Post yangu ya kwanza ilikuwa ni kuomba ushauri kozi nzuri ya kusoma.
Nilibahatika kupata ushauri wa kutosha na...
Habari za muda huu wapendwa? Kama mnavyoona katika title hapo mimi nipo Dar, Tanzania nahitaji majoho 15 ya watoto wa Nursery kwaajili ya kukodi na nayahitaji siku ya tarehe 8/12/2017. Yeyote...
Habari zenu jamani kama nilivosema kichwa cha habari naomba mtu anayejua vizuri chuo cha Unique academy kilichopo Dar anielezee kama ni kizuri isije ikawa tena vituko kama Kampala napo, naomba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.