Tusipoamua sasa basi tutaendelea kuchelewa.

Black jew

Member
Sep 4, 2017
50
125
Moja nadhani imefika muda tuamue kua ipi itakuwa lugha ya kufundishia kuanzia awali mpaka vyuo vikuuu kama ni english au kiswahili.

Juzi kati hapa mjin mbeya kulikuwa na mchucho katika shule ya msingi mkapa ambayo ni shule ya serikali ilainatumia mitaala ya kingereza .
Kulikuwa na watoto zaid ya 2000 na kati ya hao wamepatikana 150 hiv ndo waliopata nafasi ya kujiunga na chekechea.

Hali ile ilinionesha ni jinsi gani watu wanapenda watoto wao wapate msingi wa kingeleza kwan ndo kinachotumika katika elimu za secondary kwan wengi tunaamin kuwa hicho hufanya wepesi wa mtoto kuelewa na pia kuweza kujieleza mbele ya safar ya maisha ya elimu na hata wakat wa interview.

Nadhani viongozi na watunga sera walimu pamoja na watu walio na vipato haliii haiwagusi kwani wengi wao wattoto wao wanasoma katika shule za kiingeleza ndo mana hawajaliona hili kama tatizo ila wajue kuwa nchii ni kubwa saana yenye idara muhim nying ambazo kwa kiasi kikubwa huwa zinajAzwa na watu ambao wamesoma shule za kawaida na na kingeleza sio lugha ambayo huwa wanaitumia kwa ufasaha hivyo basi inachangia kurudi nyuma kiutendaji.

TAIFA NAOMBA TUAMUE.!!!
 

Pain killer

JF-Expert Member
Aug 15, 2017
4,826
2,000
Unaweza kujua kingereza cha kuongea ila cha kuandika kikakupiga chin ....jiulize kwanin wanaosoma shule za medium msuli wa PCM na PCB wanapoteana...
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom