Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Nauliza mweny uelewa na hii kozi ya fitting mechanics inahusu nn hasa mambo ya gereji au mitambo??? Msaada jaman Na soko lke la ajira lipoje
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Njoo kigoma nije kwenye hiyo mikoa idara msingi no 0762888655
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wanaelimu, Nia ujitaji sana na past papers za necta solved katika soft copy. Ningepata hata vitabu vya review vingenisaidia ila nipo interior sana mbali na mjini. Nikipiga gharama ya...
1 Reactions
3 Replies
11K Views
Wakuu naombeni kujua mwenye taarifa kama matokeo ya qt form two yametoka ama yatatoka lini msaada tafadhali.
0 Reactions
19 Replies
11K Views
Kwa muda mrefu magic fm 92.9 wamekuwa wakiitangaza shule hii iliyopo Chamazi kama shule bora sana na ni barabara ya kwenda chuo kikuu.Biashara ni matangazo lakini wazazi wasioijua hii shule...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Nina mdogo wangu wa kike yuko form vi CBE na mwezi wa 5 anafanya Necta...Kinachoniumiza dogo kakataa tamaa ya kufaulu anadai masomo magumu mno, keshatuambia akifaulu sana labda div 3 .....Dogo FM...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari wana jf. Naomba nifahamishwe upangwaji wa ada za vyuo vikuu vya binafsi uzingatia maswala gani haswa? Pia kuwepo kwa penalty kwa wanachuo wanao chelewa kulipa ada ni jambo sahihi? Kama ni...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naomba mnisaidie wana JF kuna dogo langu linariseat form-6 Je, wanawekewa alama kama wanazopata au hatakama amepata 'A' unawekewa principal pass tu yaan 'C' kama wanazopata ilivyo kwa mfumo wa...
0 Reactions
3 Replies
937 Views
Wadau nataka nifanye mtihani wa form six kombi ya EGM au Historia na GM, mimi ni mtumishi wa serikali nimerudia mtihani mwaka jana nimepata nilichokitafuta matokeo ya kwanza nilikuwa na C mbili...
1 Reactions
48 Replies
9K Views
Nimekuwa nikivutiwa kusoma yaani kujiendeleza kimasomo ila kuna minong'ono kuwa digrii zinaweza tofautina ubora kutokana na chuo ulichosomea. Sasa je, nini tofauti ya degree ya chuo kikuu huria na...
1 Reactions
53 Replies
11K Views
Ningependa kupata maelekezo ofisi za TCU hapa dar zinapatikana maeneo gani .???
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Elimu hasa kwenye shule zetu za umma iko taabani, viwango vya elimu vinashuka, shule zetu zimegeuka kuwa viwanda vya kuzalisha ujinga. Uwezo wa wahitimu kuchambua mambo na kujenga hoja sio wa...
1 Reactions
1 Replies
557 Views
Out of the candidates who sat for a qualifying test at CBE in a certain year, 75% were males. 54% of the female candidates failed and 70% of the male candidates passed. If 135 female candidates...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Wakuu mwenye soft book ya hiki kitabu aweke hapa nipakue
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Jaman kama ilivo title mbona matokeo ya kidato cha nne huchelewa ivi tatizo nn maana kila mtu anatoa hoja zake kwa alie pata habar kamili aniambie tafadhali
2 Reactions
56 Replies
15K Views
Nashauri, serikali iandae walimu, wataalamu kisha waandae vipindi mbalimbali vya masomo, ambavyo vitawekwa kwenye CDs, flash nk, kisha wazisambaze shuleni hasa shule zenye uhaba wa walimu...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Habari wana jf, Mkombozi wa elimu kwa upande wa Pre-Form 5 na wanaosoma PRACTICAL kwa kidato cha NNE na SITA yupo kwa ajili ya kusaidia vijana mbalimbali, pia tunafundisha tuition kwa...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Kuna wanafunzi hasa waliokuwa wanasoma mbali walikuwa hawarudi nyumbani mpaka wanapomaliza Form 6 Wale wa Kigoma ,mwanza na Ngara huko walikuwa wakiaga nyumbani kwenda form 5 walikuwa hawarudi...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Tunatoa scholarships (ufadhili wa kimasomo) kwa wale wanaopenda kwenda kusoma nje ya nchi, kama China, Japan na Korea kusini. scholarships hivi ni kwa ngazi ya Phd, Masters, Bachelors na kozi za...
3 Reactions
13 Replies
5K Views
Back
Top Bottom