Sekondari ya Kent na Magic fm

Sekondari ya Kent na Magic fm

senzighe

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2012
Posts
2,312
Reaction score
1,896
Kwa muda mrefu magic fm 92.9 wamekuwa wakiitangaza shule hii iliyopo Chamazi kama shule bora sana na ni barabara ya kwenda chuo kikuu.Biashara ni matangazo lakini wazazi wasioijua hii shule wanaweza kuingia chaka kwa kuiamini hii redio.
Matokeo ya form four 2017
Div 1= 0
Div 2=2
Div 3=24
Div 4=35
Div 0=1
Wazazi amkeni.Magic fm wao wamepata chao.
 
Nipeni matokeo ya Mbondole na Kitonga zote za Dar es Salaam
 
Eti wanasema wanafundisha course zenye fursa kubwa ya ajira hahah ukifatilia ni hotel management pia ada utalipia kidgo kidogo huwa nachekaga sana nikiskia
Hahahahha mwenyewe nawachoraga tu bora kile kinachojitangaza kwa wimbo wa kwaya sijui" zioni zioniiiii zioni Chenye maadili mema"[emoji445][emoji445][emoji445][emoji445]

KunA muhaya mmoja alipokuwa anasikia hotel management course akajua ukimaliza apo unakuwa meneja wa mahotel makubwa akasoma kwa mbwembwe zote wazazi wake full kujinadi alipokuja kwenye Ajira ndo alijuta na kulaani sana aliishia kuwa anadeki na kutandika vitanda lodge
 
Hahahaha mkuu hiyo ni hatari
 
ab318684170ebdb5f397745d51c3c991.jpg
 
Back
Top Bottom