Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Habari zenu wana JF, Niende Moja kwa moja kwenye kilichonisukuma kuandika. Mtanisamehe si mwandishi mzuri, ila ujumbe naamini utafika. Elimu ya Tanzania ni Elimu ambayo kiukweli imekuwa...
4 Reactions
7 Replies
2K Views
Kwa anayekifahamu chuo cha Mkomaindo Masasi Mtwara naomba anifahamishe. Mazingira yake, ubora wa wakufunzi wake na maisha ya pale chuoni kwa ujumla.
0 Reactions
9 Replies
6K Views
Habari wandugu, Nilikuwa naomba kujua vyuo ambavyo viko Mtwara vile bora. Kuna binti mmoja anataka kusoma sasa kaniomba msaada na mimi sio mwenyeji wa huko wala sijawai kufika Mtwara na kaniomba...
1 Reactions
23 Replies
13K Views
Habari wana JF, TCU juzi wametangaza mfumo mpya kwa wanaotaka kuomba nafasi za chuo mwaka huu, ambapo kwa mfumo uliotangazwa, unamtaka mwanafunzi kwenda moja kwa moja chuoni kufanya application...
2 Reactions
113 Replies
16K Views
closed
0 Reactions
2 Replies
955 Views
Wadau naomba kujua watpto wenye maambukizi, wanaosoma /kufaulu elimu ya sekondari wanathaminiwaje, na kupokewa mashuleni kama wale wasio nayo?na treatment kwao inakuwaje-hasa ikizingatiwa ni suala...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Nina sababu kuu 3 1.Kanda ya ziwa yote haina chuo kikuu 2.Location ya Sengerema ni nzuri kwa kila idara 3.Population ya kanda ya ziwa ni kubwa sana, hivyo inatosha kuwa na chuo kikuu cha serikali...
1 Reactions
24 Replies
5K Views
Habari, natafuta tution centre za dar es salaan ili kujiandaa na kidato cha tano, masomo ni PCB. iwe na walimu wazuri.
1 Reactions
11 Replies
4K Views
Heshima kwenu wana jukwaa Hapa ndo mahali pekee tunakutana na watu wa kila namna.na ngazi zote za elimu kwa nchi yetu, nisiwachoshe niende kwenye mada. Natambua kuna sababu mbali mbali hufanya...
2 Reactions
6 Replies
3K Views
Samahani wana jamvi. Naomba Msaada wa shule Kwaajir ya PC. Iwe nzury na Ada iwe nafuu kidogo Ikiwa Boding Au Day Sawa ila isiwe Dsm. Morogoro na Iringa first choice
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Kijana huyu amemaliza kidato cha nne mwaka 2011 nakupata daraja la 4 (28)., Matokeo ni kama inavyo onekana hapa chini, *Biology - D *Geography -D *Chemistry -D *Civics -D *English -D...
0 Reactions
51 Replies
5K Views
Jamani wana jf mbona hili swala limekuwa hiding sana kama kuna mtu analifahamu alielezee naona asilimia kubwa watu wanaliulizia.huu utaratibu wa kusoma form five upoje na sifa zake na kama...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari yenu wadau wa JamiiForums leo kwa mara nyingine napenda kuwashauri kidato cha sita juu ya kozi za kujaza endapo utahitaji ajira za moja kwa moja utakapomaliza chuo; Kwa waliosoma ; 1.PCB...
2 Reactions
22 Replies
12K Views
Watu wengine bana wale wakali wa number(Engineers) wamekutwa wakidanganyana eti kwa mwaka huu iko proved kwamba Valentine day haipo.Given Eqution: If VALENTINE DAY =14-02-12 Mathematically...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wakuu? Ninawatafuta, wahitimu wa BSc.Forestry sana wa mwaka 2016/17 kutoka chuo, kikuu cha Sokoine, naomba sana wale mpo humu jukwaani niwapate wakuu Nina shida kubwa sana na nyie Foresters.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ni hiv nina amaount ambayo siijui (x) nataka niki izidisha mara 0.18 jibu lake ni jumlishe na hiyo amount ambayo siijui(x) nipate 378 msaada Mfanya biashara nime kwama
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Mdogo wangu ana division two yeye anataka aende EGM nimemshauri aende CBG kwani Physics aliharibu, hivi kati ya hizi comb ipi nzuri sana kwake na for his future EGM au CBG
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari!! Naomba kujua katika mchepuo wa CBG huko advance utatakiwa kusoma masomo mangapi pamoja na combination yako?
1 Reactions
25 Replies
11K Views
Niende Je kozi gani it????????
1 Reactions
54 Replies
10K Views
.. Nilianza foundation CPA. Sasa ndo nimeingia intermidiate nataka kufanya malipo... mkanganyiko unakuja kwenye exempt fee... Je hiyo nitailipia tena?
0 Reactions
0 Replies
925 Views
Back
Top Bottom